Leo unaandika kiume kweli 😟 that's girlish writing imeenda wap?
 
Hapo unajaribu kufananisha vitu ambavyo haviendani kabisa, ngono na umasikini ni vitu viwili tofauti, ngono ni tendo na umasikini ni hali

Na ili ngono ifanyike lazima ihusishe jinsia mbili, wakati umasikini ni kitu individual, ambacho hakisababishwi na jinsia

Sasa inapotokea tendo ambalo linahusisha jinsia mbili, halafu moja inasifiwa nyingine inapondwa kana kwamba hilo tendo kila jinsia inafanya na viumbe wengine tofauti, inakuwa haimake sense yani

Unapomuambia mwanamke ajitunze automatically unamaanisha na mwanaume naye ajitunze, maana wanawake wakiamua kujitunza wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao, hivyo nao watajikuta wanalizimika kujitunza vile vile

Lakini unapomuambia mwanamke ajitunze halafu mwanaume asijitunze, maana yake unamuambia mwanaume yeye kuendelea kutongoza na kubadilisha wanawake ni sawa tu, lakini unasahau kwamba hao wanawake atakaowatongoza na kuwabadilisha ndio hao hao unaowaambia wajitunze tena
 
Daah mama.
Huu msumari wa moto hatari, una akili sana rafiki
 
Kwa hiyo umesikia jamii inasema hawafai na wewe umelibeba kama lilivyo ilhal hata ukaribu nao hutaki?
Sijasikia, bali naona.

Ila ukitaka wasisemwe vibaya basi wawe na msimamo hasa baba watoto zao wanapokuwa hai na wanapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume Mwingine.

Ila tofauti na hapo wataendelea kusemwa vibaya na ndio ukweli huo.

Ukweli siku zote unauma
 
Ambae ni mjane hapo sawa...
Wengine ni pasua vichwa unadhani ni sabb Gani hawaku excel kwenye mausiano ya kwanza.....

Lisemwalo lipo..kua uyaone....Hii mechi haiitaji hasira...
Duuh kwahiyo kila mahusiano yanayovunjika chanzo na makosa huwa ni ya mwanamke tu, kwamba mwanaume yeye siyo mkosaji na hawezi kuwa chanzo cha mahusiano hayo kuvunjika, halafu eti hii ndio jinsia inayojisifu kutumia akili na siyo hisia inashindwa kuchanganua vitu vidogo tu kama hivi hebu msitulazimishe tuwadharau jamani
 

Nadhani jamaa hapa chini kakujibu.....πŸ‘‡
Tofautisheni Wasimbe na Wajane
 
Ninani alikwambia umasikini unaletwa na mtu mmoja. Unajua vijana wangapi wa kitanzania wangekuwa mbali kama wasingejihusisha na mahusiano. Every single penny that you see a man earns the main user ni mwanamke. Mahusiano na uchumba mwingi huvunjika pale uchumi wa mwanaume unaposhuka na the main user ni mwanamke. I tell you, budget ya mwanaume kwasiku itaishia 10k na thats final ila unajua kutunza mpenzi bibie, don't envision it anayejua ni mwanaume. Ndoa huvunjika nasababu kubwa ya taraka ni uchumi wa mwanaume kushuka ila the main user ni mwanamke. Campaign kibao zimeinuka kumfunda mtoto wa kiume kutunza pesa yake na aachane na wanawake mpaka apate aliyesahihi umesikia mara ngapi mtoto wa kike anaambiwa usitumie pesa za mpenzi wako vibaya. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnachofurahisha ni kwamba hamjui the main person who benefits with the products ndiye atakaedetermine thamani yako na ndiyo judgement zitatoka kwake.

Kuhusu kujitunza, wewe umepewa akili timamu akili na uelewa, kufunzwa kote bado unalaghaika na kutongozwa halafu baadae ukifanyiwa hadaa umlaumu mtu seriously. Mwanaume leo amepewa tahadhari kibao kuhusu kumtunza mpenzi badala ya mke ila siwapo wanaofanya na wapo wanaolizwa umeona mkazo umetiwa kwa mwanamke kutokumuibia mwenzake au mwanaume kutokubali kuibiwa kirahisi na kuanza kusomesha mchumba pasipo jua ataweza umizwa.

Maisha yanaanza na wewe, kamwe hakutakuja tokea mtu atakaye kuja kumzuia mtu mwovu asikulaghai kuingia mkataba mbovu na wewe bali utaonywa wewe unayekubali kuingia mkataba mbovu na huyo muovu maana kwamuovu ni faida ila kwako wewe ni hasara. Maisha ni yako, jitunze mwenyewe ukifeli jilaumu mwenyewe, no one will come to carry you maana dunia ulizaliwa mwenyewe utakufa pia mwenyewe.

Pia tuelewane, tunaongelea hali ya binti kuwa mama pasipo mwenza wake, bali si tendo la ngono. Tendo la ngono linafanywa na kila mtu hata na wanandoa bali hapa tunaongelea consequences za tendo la ndoa pasipo ndoa kuwepo. Hili lipo kotekote, kwawanawake hujidhihirisha kwa kuwa single mum navinginevyo na kwa mwanaume huja kuwa kapuku kama mchawi pamoja na magonjwa na vinginevyo.

It's your burden, carry your own responsibilities and take accountability, no one is responsible for your life and no one is entittled to another one's opinion. Hayo ndio maisha, ishi kwa akili.
 
Hebu nieleze kwanini ukubali kudanganywa na bazazi na kufunua mapaja yako bila tahadhari ikiwa una akili tamamu...?
 
How and why would I even want to change masculinity?
Did I leave my lane?
How is 50% related to my thread mkuu?


Unaongea vitu vingi vya maana ila haviendani na point yangu
 
swala ni utajuaje kwamba huyu bahati mbaya huyu ni ukicheche wake, maana wanawake sifa yenu kuu ni uongo na drama. Unless unamjua personally
Good queation.
Huwezi kujua na ndio mana nikaomba wasihukumiwe wote
 
Singo mazeri ni adhabu ya ujeuri na dharau walizo nazo, Labda itokee bahati mbaya mwanaume alifariki mapema! Nje ya hapo acha waendelee kuzalishwa na bodaboda wasio chana nywele wala kupiga mswaki...Kwa ufupi heshima na adabu hawana na wengi wao waliona kushika ujauzito mapema ni ustaa sasa wanachopitia ndio matunda yenyewe...
 
Smart Contract kaandika vizuri sana πŸ˜€ you only looking for one side na hicho ndicho unacholalamika hapa Je kwamba single mazas wanaonewa wote?
Nacholalamika ni generalization nothing else.
Naona mkuu ametendwa na ana hasira ila kwani non singo maza hawezi kumfanyia hayo?🀣
 
Tatizo kubwa ni financial freedom. Usingle maza usingekuzwa Kama wanawake waliozalishwa wangekuwa na uwezo wa kujitegemea.. so ata ukiwa single maza kirahisi uwe na uchumi wako mbna unawika tu fresh na walumendago watakutaman tu wakuoe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…