Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
😍😍
Wimbo 1:5
Mimi ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri,enyi binti wa Yerusalem mfano wa hema za kedari Kama mapazia ya Suleiman .🤷🤷🤷🤷
10 Mashavu yako ni mazuri kwa mashada, Shingo yako kwa mikufu ya vito.
Wimbo Ulio Bora 1:10

11 Nutakufanyizia mashada ya dhahabu, Yenye vifungo vya fedha.
Wimbo Ulio Bora 1:11
 
13 Mpendwa wangu ni kama mfuko wa manemane Ukilazwa usiku maziwani mwangu.
Wimbo Ulio Bora 1:13
14 Mpendwa wangu ni kama kishada cha hina, Katika mizabibu huko Engedi.
Wimbo Ulio Bora 1:14
 
Tatizo sio singo maza; wanaume wenye uwezo wa kuoa tuko wachache sana, ata tukioa kumi kumi, wanawake bado watabaki.
Kwa hiyo usingo maza sio ukoma, hata michepuko yangu 50 yote ni singo, lakini ni pisi kali, na wanajitambua kuliko hivi vitoto vinavyojiita kuwa vinaukuta ndani ya ..​
 
😍😍
Wimbo 1:5
Mimi ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri,enyi binti wa Yerusalem mfano wa hema za kedari Kama mapazia ya Suleiman .🤷🤷🤷🤷
9 Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani.
Wimbo Ulio Bora 2:9
 
I am just saying my shoulder is yours to lean on🤗
gru.jpg
 
Back
Top Bottom