Ninani alikwambia umasikini unaletwa na mtu mmoja. Unajua vijana wangapi wa kitanzania wangekuwa mbali kama wasingejihusisha na mahusiano. Every single penny that you see a man earns the main user ni mwanamke. Mahusiano na uchumba mwingi huvunjika pale uchumi wa mwanaume unaposhuka na the main user ni mwanamke. I tell you, budget ya mwanaume kwasiku itaishia 10k na thats final ila unajua kutunza mpenzi bibie, don't envision it anayejua ni mwanaume. Ndoa huvunjika nasababu kubwa ya taraka ni uchumi wa mwanaume kushuka ila the main user ni mwanamke. Campaign kibao zimeinuka kumfunda mtoto wa kiume kutunza pesa yake na aachane na wanawake mpaka apate aliyesahihi umesikia mara ngapi mtoto wa kike anaambiwa usitumie pesa za mpenzi wako vibaya. [emoji23][emoji23][emoji23] mnachofurahisha ni kwamba hamjui the main person who benefits with the products ndiye atakaedetermine thamani yako na ndiyo judgement zitatoka kwake.
Kuhusu kujitunza, wewe umepewa akili timamu akili na uelewa, kufunzwa kote bado unalaghaika na kutongozwa halafu baadae ukifanyiwa hadaa umlaumu mtu seriously. Mwanaume leo amepewa tahadhari kibao kuhusu kumtunza mpenzi badala ya mke ila siwapo wanaofanya na wapo wanaolizwa umeona mkazo umetiwa kwa mwanamke kutokumuibia mwenzake au mwanaume kutokubali kuibiwa kirahisi na kuanza kusomesha mchumba pasipo jua ataweza umizwa.
Maisha yanaanza na wewe, kamwe hakutakuja tokea mtu atakaye kuja kumzuia mtu mwovu asikulaghai kuingia mkataba mbovu na wewe bali utaonywa wewe unayekubali kuingia mkataba mbovu na huyo muovu maana kwamuovu ni faida ila kwako wewe ni hasara. Maisha ni yako, jitunze mwenyewe ukifeli jilaumu mwenyewe, no one will come to carry you maana dunia ulizaliwa mwenyewe utakufa pia mwenyewe.
Pia tuelewane, tunaongelea hali ya binti mama padipo mwenza wake, bali si tendo la ngono. Tendo la ngono linafanywa na kila mtu hata na wanandoa bali hapa tunaongelea consequences za tendo la ndoa pasipo ndoa kuwepo. Hili lipo kotekote, kwawanawake hujidhihirisha kwa kuwa single mum navinginevyo na kwa mwanaume huja kuwa kapuku kama mchawi pamoja na magonjwa na vinginevyo.
It's your burden, carry your own responsibilities and take accountability, no one is responsible for your life and no one is entittled to another one's opinion. Hayo ndio maisha, ishi kwa akili.