Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Single mother wameamua kujitetea mana sasa watu wanasanuana Sana 😁😁😁😁 sema single mother lazima akupekeche tuu ni suala la mda tuu , mpak ubahatishe Yule mwenye maadili Sana ambaye by mistake aliyemtegemea aliishia kumpa mimba akakimbia hao huwa very strong Sana , japo ni wa kubahatisha Sana
 
Glenn huyu dogo mshamba_hachekwi ni mkibosho usimuone ukafikiri sio mchaga. Sema sasa wakibosho wengi ni washamba sama hawajui hata kutongoza mademu 😀baba zao wanawaolea. .

Sema ni toto dogo sana lina miaka 18..Nilishamwambia aamkie humu ndani ila la kupiga makonzi😅
Miaka ya nyuma nilikuwa na crashi wangu wa kibosho humu ooh huyo mtoto Mungu amtunze...mrembo sana acha tu.
mshamba_hachekwi nimegundua ni kijana mzuri ana kitu kichwani, anahitaji msasa kidogo.

Kwta speed aliyonayo humu na mishankupe itamrarua acheze kwa step kama yupo RAU madukani
 
kuwatetea dada zetu❌
kujitetea wewe✓
Nimefarijika kuona unakataa kuwa siwatetei dada zako.
Na pia najua huna uwezo wa kujua ni kipi kimenipa faraja katika hilo.
Sawa najitetea mimi🙏
 
KUA SINGLE MAZA NILAANA KUBWA SANA.. USIWADANGANYE MABINTI .WAACHE SINGLE MAZA WAPAMBANE NA LAANA YAO WENYEWE.

BINTI USIKUBALI KUA SINGLE MAZA SINGLE MAZA NI LAANA, SINGLE MAZA NI UMALAYA TUU
Wewe ni poyoyo.
Unakurupuka huko umelewa wanzuki unavamia watu hujui hata wanaongelea nini?

"Binti usikubali kuwa single maza" alokwambia niko hapa kushawishi mtu awe single maza ni nani?

Single maza mkubwa wee 👹
 
Mnajilengesha ili iweje? Muhudumiwe for the rest of your lives kisa mtoto?

Kwa sababu utatumia sababu uliyoitaja hapa juu?

Narudia kama mtu najaonesha kutokuwa nabhaja ya kuwa na wewe maishani mwake usimbebee mimba.

Mnatutesa baadae tukipata familia tunazozitaka.

Tena wengine mnajua kabisa mtu kaoa na mnajibebisha mimba. Halafu mnasingizia mtoto atateseka 😡😡😡
Mi siongelei hayo wakuu.
 
Yaishe sista, hatuelewani ila mwanamje hajalazimishwa kutoa huo mwili kwa wanaume wasio mjali ni nyege zake. So bare your fruits, wewe ndio hufananishi kwasababu havijakukuta yaliyotukuta tupo. Ndio maana nikasema, if your a woman, you have no rights to a man's opinion hakutaki hakutaki na viceversa vivyo hivyo. Upendo haulazimishwi. Nice day, lets watch Man utd
Sawa, sasa kama mnalijua hilo kwanini mnalaumu kwamba wanawake hawajitunzi, ilihali ninyi ndio hamko tayari kuvumilia hadi ndoa

Ishu ni kwamba waacheni hao wanawake wajitunze ili mje kuwaoa wakiwa mabikira na hawana watoto, ila kama nanyi hamuwezi kusubiri hadi muwaoe basi wachezeeni tu, huku mkijua mwisho wa siku ndio hao hao mtaokuja kuwaoa hamtaumbiwa wengine yani

Na hapa siyo suala na nani kimemkuta nini bali tunajadili uhalisia, huwezi kutolea mifano ya vitu ambavyo kiuhalisia haviendani zaidi ya mitazamo binafsi tu ya watu, na tena mitazamo yenyewe wala siyo universal bali inatofautiana kati ya jamii na jamii tu
 
Sijasikia, bali naona.

Ila ukitaka wasisemwe vibaya basi wawe na msimamo hasa baba watoto zao wanapokuwa hai na wanapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume Mwingine.

Ila tofauti na hapo wataendelea kusemwa vibaya na ndio ukweli huo.

Ukweli siku zote unauma
Sawa lakini point yangu ni kuwa sio wote wanaweza kufanya hivyo
 
Hebu nieleze kwanini ukubali kudanganywa na bazazi na kufunua mapaja yako bila tahadhari ikiwa una akili tamamu...?
You are out of the topic sir.
Ndo unaamka nin🤣
 
Tatizo kubwa ni financial freedom. Usingle maza usingekuzwa Kama wanawake waliozalishwa wangekuwa na uwezo wa kujitegemea.. so ata ukiwa single maza kirahisi uwe na uchumi wako mbna unawika tu fresh na walumendago watakutaman tu wakuoe...
Sawa vp wasio na uwezo?
 
Back
Top Bottom