Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
😍😍😍😍😍😍🀣 Suleiman alikuwa anajua sana kuchombeza walah
14 Hua wangu, mafichoni mwa jabali, Katika sitara za magenge, Nitazame uso wako, nisikie sauti yako, Maana sauti yako ni tamu na uso wako mzuri.
Wimbo Ulio Bora 2:14
 
3 Midomo yako ni kama uzi mwekundu, Na kinywa chako ni kizuri; Mashavu yako ni kama kipande cha komamanga, Nyuma ya barakoa yako.
Wimbo Ulio Bora 4:3
Mtumishi,nimekusoma SanaπŸ˜πŸ˜…πŸ˜…
 
Mtumishi,nimekusoma SanaπŸ˜πŸ˜…πŸ˜…
15 Wewe ndiwe chemchemi ya bustani yangu, Kisima cha maji yaliyo hai, Vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.
Wimbo Ulio Bora 4:15
 
Kwa jinsi nmesoma comment kumbe hapa ndani wanaume ni wachache yani wamejaa wavulanaπŸ€”πŸ€”
 
Back
Top Bottom