Wewe unaonekana ni muongeaji sana...bila shaka wewe ni single mother mtarajiwa😀
Hofu yangu ni kufa mgumba na sio kufa as a singo maza.
Halafu sasa hata nikiwa singo maza labda nimtukane Mungu ila nina uhakika nitaendelea kula bata,kuheshimika na jamii kushinda wewe na mkeo uliyemuoa bila watoto.

Na kingine hata nikiwa singo maza wa totozi 12 kama wanafunzi wa Yesu watoto wangu wote watasoma shule za kishua na kuishi kishua na chenji itabakia yakutosha kukulisha wewe mkeo na watoto wako🤣

Naomba usinielewe vibaya🤣 namaanisha tu sio sawa jamii kutaka singo maza wote waonekane hawafai.
Barikiwa sana🙏
 
Hiyo ni imani tu.

Mwanamke mwenye kujielewa hawezi haribu ndoa yake kisa mtu aliyemtenda huko nyuma kisa tu ni baba mtoto wake.

Wapo wa hivyo ila sio wote.
Hata non singo maza pia kuna wanaocheat na wapenz wao wa zamani mkuu
 
Maneno huumba mkuu.
I rebuke your tongue in Jesus name.
 
Mpendwa wangu aliutia mkono wake tunduni, Na moyo wangu ukachomeka kwa ajili yake.

Wimbo Ulio Bora 5:4
"Asema binti Joannah )
😍😍
Wimbo 1:5
Mimi ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri,enyi binti wa Yerusalem mfano wa hema za kedari Kama mapazia ya Suleiman .🤷🤷🤷🤷
 
😍😍
Wimbo 1:5
Mimi ni mweusi mweusi lakini ninao uzuri,enyi binti wa Yerusalem mfano wa hema za kedari Kama mapazia ya Suleiman .🤷🤷🤷🤷
9 Mpenzi wangu, nimekulinganisha Na farasi katika magari ya Farao.
Wimbo Ulio Bora 1:9
 
I have interacted with here before Clepatina is one of the people I like having conversations here huwa nafarijika sana.

Ila mada ya leo nimepata ukakasi kuna kitu nyuma ya pazia😀 women get emotional always
Asante Gily

Uzuri mim naonaga vitu kabla hata sijafungua macho na hii hali ya nyie kupata ukakasi nilishaiona ila nilijua haitanisumbua.

Yes Im very emotional about this😭
 
Unaonekana una hasira sana na singo maza dear🤣.
Najua sina nitakachosema unielewe
 
Asante Gily

Uzuri mim naonaga vitu kabla hata sijafungua macho na hii hali ya nyie kupata ukakasi nilishaiona ila nilijua haitanisumbua.

Yes Im very emotional about this😭
The thing is single mothers are there because of different factors. You are trying to defend something which resulted from various factors. .

I had a friend her name is Agness na ameokoka. When she got pregnant alitengwa na church na hata baadhi ya ndugu zake. Bahati mbaya mimba ikaaribika at 7 months.. Mchungaji came and call her a sinner and she was heartbroken especially calling her pregnancy ni sinful. .

The world is not fair my Clepatina and I made peace with it. I just try to live and find happiness in smallest things that I can find. Don't sweat your self over people mind 🙃😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…