Hata wewe ungekuwa na hali ya Spika ungetenda vile vile uweze kusafiri!Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , alichaguliwa kuongoza bunge huku waliomchagua wakijua ni mtu makini mwenye uwezo wa kutafakari vizuri hivyo kuliwezesha bunge letu kuisimamia vizuri serikali na hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo mbali .
Lakini matendo na kauli zake bungeni kwa sasa ni dhahiri kuna jambo linamsumbua , hayuko sawa na kwa kweli huko tuendako asipodhibitiwa atatoa kauli ya kudhalilisha nchi
Natoa wito kwa Mamlaka yenye uwezo juu yake kumchunguza kwa lengo la kulinda heshima ya bunge na Nchi kwa ujumla
Naomba kuwakilisha.
Ujumbe kwa Moderator - Job Ndugai kwa vile ni spika wa bunge letu kujadiliwa haliwezi kuwa kosa , Kitwanga aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani alibainika kulewa akiwa ndani ya bunge ( na huenda alikuwa amevuta bangi pia ) , akatimuliwa na kuvuliwa uwaziri , tuacheni tuwajadili viongozi ili kunyoosha nchi .
Hali ya spika? kada jaribu kusema ukweli tu! kuna hali,Hata wewe ungekuwa na hali ya Spika ungetenda vile vile uweze kusafiri!
Hata wewe ungekuwa na hali ya Spika ungetenda vile vile uweze kusafiri!
Tena pakuanzia iwe ni ugonjwa wake ule unaomsumbua matibabu india .usikute unaathiri uwezo wa kkufikiri na kutenda.Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , alichaguliwa kuongoza bunge huku waliomchagua wakijua ni mtu makini mwenye uwezo wa kutafakari vizuri hivyo kuliwezesha bunge letu kuisimamia vizuri serikali na hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo mbali .
Lakini matendo na kauli zake bungeni kwa sasa ni dhahiri kuna jambo linamsumbua , hayuko sawa na kwa kweli huko tuendako asipodhibitiwa atatoa kauli ya kudhalilisha nchi
Natoa wito kwa Mamlaka yenye uwezo juu yake kumchunguza kwa lengo la kulinda heshima ya bunge na Nchi kwa ujumla
Naomba kuwakilisha.
Ujumbe kwa Moderator - Job Ndugai kwa vile ni spika wa bunge letu kujadiliwa haliwezi kuwa kosa , Kitwanga aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani alibainika kulewa akiwa ndani ya bunge ( na huenda alikuwa amevuta bangi pia ) , akatimuliwa na kuvuliwa uwaziri , tuacheni tuwajadili viongozi ili kunyoosha nchi .
Tena pakuanzia ni ugonjwa wake ule uliomfanya mpaka haamie India .tusikute ugonjwa na madawa anayotumia yana hathiri uwezo wa kufikiri na kutendaNani sasa wa kumfunga paka kengele hapo! Hiyo kamati ni huru! au ndiyo ameiteua yeye mwenyewe? Na lazima wajumbe wake wengi watakuwa ni kutoka chama tawala hivyo kulindana ni moja ya kanuni zao.
Ana ugonjwa gan mkuu ambao umemfanya aloose hope hvyo ni kufanya uovu.Kuna uwezekano huyu jamaa haamini kama tunaenda Mbinguni kwa babaHata wewe ungekuwa na hali ya Spika ungetenda vile vile uweze kusafiri!
Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , alichaguliwa kuongoza bunge huku waliomchagua wakijua ni mtu makini mwenye uwezo wa kutafakari vizuri hivyo kuliwezesha bunge letu kuisimamia vizuri serikali na hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo mbali .
Lakini matendo na kauli zake bungeni kwa sasa ni dhahiri kuna jambo linamsumbua , hayuko sawa na kwa kweli huko tuendako asipodhibitiwa atatoa kauli ya kudhalilisha nchi
Natoa wito kwa Mamlaka yenye uwezo juu yake kumchunguza kwa lengo la kulinda heshima ya bunge na Nchi kwa ujumla
Naomba kuwakilisha.
Ujumbe kwa Moderator - Job Ndugai kwa vile ni spika wa bunge letu kujadiliwa haliwezi kuwa kosa , Kitwanga aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani alibainika kulewa akiwa ndani ya bunge ( na huenda alikuwa amevuta bangi pia ) , akatimuliwa na kuvuliwa uwaziri , tuacheni tuwajadili viongozi ili kunyoosha nchi .
Kuumwa hakuanza yeye mbona ?Hata wewe ungekuwa na hali ya Spika ungetenda vile vile uweze kusafiri!
Anachonisikisha zaidi huyu jamaa, ni hali ya wapiga kura wake, tena alipozaliwa ni karibu kabisa na Kongwa mjini, lakini watu wa eneo lake kabisa, wana dhiki kuu ya maji yaani wanachimba makorongoni kama kuku wanaotafuta chakula kwa kuparua chini ili kupata maji. yaani kuna stand pipe moja tu, tena karibu na kwao, inayotoa maji kwa muda maalum.kijiji kizima kinakutania hapo, wanawake wanakesha kusubiria maji hapo,Dawa yake moja tu, mwakani no kura, hakuna kuingia bungeni. Miaka 5 ya ufala wake inatosha sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio anachotenda NdugaiHamna faida yoyoye ya chadema bungeni wafukuzwe wote.
Kama kuitana dhaifu ni jambo la maana sana kwao waende wakamuite Mbowe dhaifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasema anaumwa?!Kuumwa hakuanza yeye mbona ?