Mwanzoni ilionekana kama ni masihara kwa viongozi wa serikali ya awamu ya tano ya Chama cha Mapinduzi kujitokeza hadharani na kudai kuwa wao ni Mawe, Vichaa, Malaika na hata wengine kusema wao ni Mungu!

Nimeona pia clip ikionyesha Spika Ndugai akisema yeye ni miongoni wa walio na mafaili hosptali ya wagonjwa wa akili, Milembe!

Kauli na vitendo vya viongozi wa serikali ya awamu ya tano visivyozingatia sheria na taratibu za nchi huenda ni matokeo ya kuwa na viongozi wagonjwa wa afya ya akili!

Swali la kujiuliza ni kwa nini Chama cha Mapinduzi ambcho ndicho mdhamini wa hawa viongozi kiliamua kutuletea vichaa hawa!? Je ni makusudi au ni bahati mbaya!?

Viongozi pia ni taswira ya njinsi wananchi walivyo! Kama tuliona watu walio wagonjwa wa akili wanafaa kutuongoza, na tunaendelea kuwavumilia, basi Watanzania asilimia kubwa ni wagonjwa wa akili hata kama hatuna mafaili Milembe!

Haiwezekani kuwa na Spika wa Bunge anayepatwa na taharuki anaposikia Chama fulani kimefanya maamuzi dhidi wanachama wake, ama Rais anayelalamika kukimbizwa Mabeberu kila kukicha! Yawezekana kweli Milembe ina mafaili ya hawa Wazalendo!

Tuchapeni kazi kwa tahadhari, kakorona kanaual!
 
Kuna kila dalili kwa haya matendo ya kibabe afanyayo Job Ndugai kama Spika amesahau kuwa cheo chake kinafikia ukingoni bunge likivunjwa 31.may.2020 na baada ya hapo sio mbunge tena wala spika.
Kiburi chake pengine anadhani yeye ni spika wa kudumu na hana hofu.
Ajue kuwa atapaswa tena kurudi Kongwa na kupiga wapinzani wake bakora za kichwa tena ili aupate ubunge. Na hiyo ni kama hata mwaka huu watakubali kupigwa bila kugeuza kibao.
Walio karibu naye wamkumbushe ya dunia hii na jinsi maumivu yanavyokuwa makali utukufu unapokutoka mbele ya ulio wadharau
 
Kwahiyo kijana alikuwa anatumika kusambaza madawa ya kulevya ?
 
Bunge sio 'mhimili' unajitegemea tena!
Bunge la ndugai limekuwa la mipasho mno, bora hata Tulia hana hii mipasho kama ndugai!
Bunge badala ya kuishauri na kuielekeza srikali sasa linapokea maagizo toka serikalini.
Bunge sasa limesahau hata majukumu yake na kila kukicha ni CHADEMA! CHADEMA!
 
Mimi ninajua kabisa na kuele mtu jipambanua mwana sis em ana matatizo ya kufikiri, ana mtindio wa ubongo. Kila aliye mwana sis em kindakindaki ni mgonjwa wa akili. Supi na Naibu wake, wabunge wao mpk wanachama wote.
CHADEMA waondoke tu wote tuone maendeleo na hizo ngojera zao, kwanza miradi yote mikubwa inakufa na kutia bonge la hasara. Mtu usiyeweza kupiga gharama kwa kitu ulichokianzisha kwamba utakikamilisha hata neno la MUNGU linakuita mpumbavu
Kundi la hao pongeza pongeza ndiyo liko hivyo siyo ndugai tu wooootee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hana kabisa sifa. Ni nyau aliyejiunga na binadamu
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana Mtu kama Job Ndugai anaendelea kula cake ya Taifa. Anaendelea kutumia rasilimali za taifa.

Huyu ambaye amerudi kwa kasi na mradi wa Bagamoyo ambaye sijui Wachina walimpatia nini huko kwao.

Nashangaa hadi soko kuu la Dodoma limepewa jina la hovyo la huyu jamaa ambaye alitumia mamilion ya pesa kwenye matibabu yake peke yake il hali kuna Watanzania wengi wanakufa kwa kukosa dawa za bei rahisi tu hospitali.
 
Alishatuambia Ana File Mirembe Hospital
Anaumwa Sana Tumuombee Huyu Mzee
πŸ˜£πŸ˜£πŸ€”πŸ€”πŸ˜‡πŸ€—πŸ™‚β˜ΊπŸ˜₯Dish
 
Alishatuambia Ana File Mirembe Hospital
Anaumwa Sana Tumuombee Huyu Mzee
[emoji21][emoji21][emoji848][emoji848][emoji56][emoji847][emoji846][emoji5][emoji26]Dish
Hata yule bundi naona aliingia bungeni kwa kumfuata yeye
 
Ndugaye dishi limeyumbishwa na laana za Lissu
 
Halafu anaweka bungeni wabunge wake. Sijui 'ndugai' ni chama gani walipo kina halima mdee πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kibaraka wa China!Viongozi wa CCM wanatia aibu Taifa hili.CCM haifai tena kuongoza Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…