Babu tale atachangia lini?
Maana jamaa anatema nondo sana

Ova
 
Ndungai amekwenda kujitetea kuhusu utopolo unaoendelea bungeni:
 
The guy must be sanctioned with 'vote of no confidence' by the legislative house to uphold the parliament dignity. He can't be trusted anymore for behaving like a chameleon lizard on issues of national interests; it is too ridiculous to persevere.
 
Lakini huyo Spika Ndugai kachaguliwa na chama chake yaani CCM.
Kama anasimamia na kulinda maslahi ya chama chake sioni kama kelele za nje ya bunge zitamwondoa.
Waliompendekeza ni CCM,Waliomchagua ni wabunge wa CCM.
Ana mkwaza mama ndiyo maana upepo unaanza kubadilika, wanaweza kumvumilia mpaka 2025
 
Lakini huyo Spika Ndugai kachaguliwa na chama chake yaani CCM.
Kama anasimamia na kulinda maslahi ya chama chake sioni kama kelele za nje ya bunge zitamwondoa.
Waliompendekeza ni CCM,Waliomchagua ni wabunge wa CCM.
Ccm IPI? Wenye ccm ni akina Kingunge Mwiru, Kinana, Makamba, Msindai, nk. Wote hao walinyang'anywa CCM wakapewa wasioifahamu ccm kaaabiisa.
 
Tujikumbushe kwenye kampeni za uchaguzi 2015. Unategemea nini kwa mtu kama huyu?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…