Sitaki kuwa mnafiki mamlaka uliyonayo na chombo unachokiongoza ni kioo cha sheria zetu. Kama unahisi hiyo ni familia yako unajidanganya. Maisha ni falsafa pana na kamwe usijipige kifua na kujawa kiburi.
 
Reactions: BAK
Ni kupitia twitter ambapo ameandika ujumbe huu:

Acheni kuumizwa na matendo ya Spika Job Ndugai , Mungu anatarajia kutenda muujiza hivi karibuni kwake ,asiwachoshe kabisa ,kwani imeandikwa...Mithali 16:5 MUNGU huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa.
 
Lema yawezekana ana tatizo la akili.

He is psychologically not ok!!
 
Lema huwa anaropoka hivi hivi, Ila yakiisha tokea ndiyo tunaanza kukumbuka.

Alimuonya Magufuli mwaka 2016 kuwa akiendelea na tabia yake ya kuwakandamiza Watanzania aaingevuka 2020.

Kweli tumezika Mwendazake March 26, 2021, japo miezi 4 iliongezeka
 
Duh...!

Nahofia kusema dua la kuku.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…