Ingekuwa enzi za Slaa hapo angekuja na press moja matata sana yenye ndondo zilijaa facts tupu!

Sasa ona hii chadema ya sasa hivi!
 
Aache kuwa nenea mabaya wenzake, kwani yeye mkamilifu asijeshangaa MUNGU akamgeuzia yeye asione sifa, MUNGU anataka watu watubu si kufa katika dhambi shauri zake
 
Tarehe kama hii 2023 kama ntakuwepo ntakomenti kwa aya tano
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Ndo maana mnaitwa mazombie kushaņgilia tu,kamati kuu ina wajumbe 30 Lissu alipata kura 24,Nyalandu aliyemgalagaza Lissu alipata kura ngapi hapo?Kweli mtaji wa CCM ni majitu majinga kama wew
 
Aache kuwa nenea mabaya wenzake, kwani yeye mkamilifu asijashangaa MUNGU akamgeuzia yeye asione sifa, MUNGU anataka watu watubu si kufa katika dhambi shauri zake
Mnenee basi na wew
 
Nabii Lema kazini , mmoja tayari mwingine mbioni
 
Lema akianzisha kanisa atapata waumini wengi sana kwa huu muda ambao hayuko bungeni.
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Hivi umeandika nini.
 
Ndugai nikumtafutia waganga wa kienyeji huko Sumbawanga wamshughulikie vizuri, naona funzo la tar 17/03 halitoshi
 
Au na yeye wako na mpango wa kumwekea sumu. Kama kwa shujaa wetu..! Lema ni nani mpaka Kawa mtabiri anatumika na kina nani..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…