Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unaijua VIEITE wewe ?Kutokana na sintofahamu iliyo likumba Taifa baada ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kupanda basi huko London inasemekana Serikali italitolea Tamko jambo hilo.
Ikumbukwe, mapema leo mheshimiwa Rais alijumuika na viongozi wenzake wa Afrika ndani ya usafiri wa basi la abiria kuelekea eneo ambalo mwili wa Hayati Elizabeth ulipo-kuwepo kwa ajili ya kuagwa.
Mheshimiwa Rais alifanikiwa kupata/kukaa seat pendwa ya dirishani.View attachment 2361758
Cristina Gallardo from POLITICOEurope reported that the following world leaders and royals travelled to the funeral by bus:Achaa maneno weka picha
Kiswahili ya nini wekaa pichaa
Subiri ufafanuzi kutoka kwa Gerson Msigwa weweUzi zingine mtu unajiuliza weeeeeee unaishia kukaa kimya tu
Mambo gani ya kudharauliana kama wewe ni mkubwa na unakosa hekima ya kujua lipi huyo mtoto anatakiwa kulijua basi bora hao watoto kuliko wewe usiyeweza kuwapa matumaini future generation...Watoto wetu hawawezi kukulia hizi dharau, no never!Watoto wasiojua mambo haya waelezwe kwamba msibani hatutafuti umaarufu hata kidogo huo ni utaratibu wa kawaida kabisa na jua tukio hili ni kubwa,issue ni kushiriki msiba then kurudi nyumbani kazi iendelee.
Mwafrika hana aibu kabisa[emoji16][emoji16] ila hii aibu wakirudi sijui wanaanzia wapi kutuletea zile mbwembwe zao za misafara
Kwakua anajitambua...Wote wangegoma wabaki na msiba waoNdio utaratibu ulikua umepangwa kabla hata hawajaenda, ila i understand Raisi wa Marekani alichomoa kupanda basi.
Ni msiba jamani it's not about pride, imagine kila raisi angepita na convoy yake si mji wote ungejaa foleni ? Pale wapo almost viongozi na wawakilishi kutoka dunia nzima toa nchi chache zilizopigwa Ban kama Russia.Kwakua anajitambua...Wote wangegoma wabaki na msiba wao
Ebu geuza wazo, mfano bomu linalipuka hapo, what a loss kwa nchi ambazo viongozi wao wamo humo?Hivi Mjomba OSAMA angekuwepo,leo angepiga ndege wengi sana kwa jiwe 1
Ulinzi wa leo ile nchi walahi hadi sisimizi leo wanasimama kukaguliwa wapende wasipende
haina cha kusema mimi nzi,mimi mbu,mimi siafu Leo ukaguzi ni kwa viumbe vyote dadeki.
Utani provoke nikutukane bure!Ni msiba jamani it's not about pride, imagine kila raisi angepita na convoy yake si mji wote ungejaa foleni ? Pale wapo almost viongozi na wawakilishi kutoka dunia nzima toa nchi chache zilizopigwa Ban kama Russia.
Ni kutokana na viongozi wetu wa Afrika wanavyojiweka.Hili jambo wala halihitaji ufafanuzi, wengi wanaolishupalia exposure hakuna.
Viongozi wa nchi zengine mf. China, France, Germany, Brazil, etc. wamepanda mabasi na wala haijawa issue kabisa, ila bongo imekuwa big topic.
Tukiendelea na hizi mentality, hawa mafisi wa kijani watatutawala mapaka Yesu au mtume arudi