Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unaijua VIEITE wewe ?Kutokana na sintofahamu iliyo likumba Taifa baada ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kupanda basi huko London inasemekana Serikali italitolea Tamko jambo hilo.
Ikumbukwe, mapema leo mheshimiwa Rais alijumuika na viongozi wenzake wa Afrika ndani ya usafiri wa basi la abiria kuelekea eneo ambalo mwili wa Hayati Elizabeth ulipo-kuwepo kwa ajili ya kuagwa.
Mheshimiwa Rais alifanikiwa kupata/kukaa seat pendwa ya dirishani.View attachment 2361758