Ulinzi ulioandaliwa huko UK si wa mchezomchezo.Tusitangulize hofu.
Kuna watu hupenda wakumbukwe kwa maswala mbalimbali, hasa yasiyokuwa ya kawaida; kama kumvizia Pope na kutaka kumuua.

Sasa fikiria lilkitokea jamaa moja, hata liwe 'homeless' hivi au levilevi tu, linafanya kweli hapa, kwenye hayo mabasi!

Hilo 'jamaa' litasimamisha ulimwengu angalau kwa siku moja!

TV zote duniani, hata Korea Kaskazini zitaonyesha tukio hilo.

Na usiseme haiwezekani.
 
Yaani hivi kweli, ni nani alimshauri Mheshimiwa aende huko?
 

Attachments

  • 20220919_193807.jpg
    94.9 KB · Views: 3
Hamna Habari kama rais wa Madagascar alishikilia bomba tena waliambiwa mtu mzima apangwi
 
Hapo nimekusoma ahsante kunielimisha!
 
Viongozi wapo sàhihi kupanda bus ili kuokoa muda na nafasi...
 
Hakuna chenye wanaweza fanya kwa hiyo miili, ikiwa tayari walishaharibu ubongo ya muafrika!

Kwa anayeonesha nia ya ukombozi wa kifikra anaitwa dikteta, muuaji nk.

So, hakuna hatari yoyote kwa hiyo mwili ya hao mapresidaa! Labda mmoja wa juzi juzi ndio unaweza kumuwazia -mr hustler!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…