Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Ulinzi ulioandaliwa huko UK si wa mchezomchezo.Tusitangulize hofu.
Kuna watu hupenda wakumbukwe kwa maswala mbalimbali, hasa yasiyokuwa ya kawaida; kama kumvizia Pope na kutaka kumuua.

Sasa fikiria lilkitokea jamaa moja, hata liwe 'homeless' hivi au levilevi tu, linafanya kweli hapa, kwenye hayo mabasi!

Hilo 'jamaa' litasimamisha ulimwengu angalau kwa siku moja!

TV zote duniani, hata Korea Kaskazini zitaonyesha tukio hilo.

Na usiseme haiwezekani.
 
Yaani hivi kweli, ni nani alimshauri Mheshimiwa aende huko?
 

Attachments

  • 20220919_193807.jpg
    20220919_193807.jpg
    94.9 KB · Views: 3
Hamna Habari kama rais wa Madagascar alishikilia bomba tena waliambiwa mtu mzima apangwi
 
Mkuu huwa majibu ya hasira mpaka nitukanwe bila kosa
Kuna mdau kanitusi kisa nimeandika mawazo yangu

Huwa naingia forums nyingi na kuna ustaarabu wa hali ya juu

Turudi kwenye mada
[emoji636] kwa miaka 71 wametawaliwa na Malkia huyu huyu kwa hiyo wengi wanamjua huyu tu imagine tangu Winston Churchill
Kwa hiyo wana haki kuifanya ya kihistoria
Angalia Wafalme wangapi wamekuja na wengi wana uhusiano pia na falme ya hapa

Ni historia tu mkuu na hata protocol zingine zimevunjwa leo
Hapo nimekusoma ahsante kunielimisha!
 
Viongozi wapo sàhihi kupanda bus ili kuokoa muda na nafasi...
 
Hakuna chenye wanaweza fanya kwa hiyo miili, ikiwa tayari walishaharibu ubongo ya muafrika!

Kwa anayeonesha nia ya ukombozi wa kifikra anaitwa dikteta, muuaji nk.

So, hakuna hatari yoyote kwa hiyo mwili ya hao mapresidaa! Labda mmoja wa juzi juzi ndio unaweza kumuwazia -mr hustler!
 
Back
Top Bottom