Wazungu wamerahisisha safi kabisa misongamano isiyo ya lazima siku ya mazishi! Basi safi kabisa air-conditioned, comfortable , aiseee sijui mlitaka VX zenu mlizozoea.....kaazi kwelikweli.

Hao ni Watawala wa third World akina samia, ruto& Co. nionyeshe hata tu picha ya raisi wa India, EU, Ufaransa akipanda basi!
 
Sura ya Samia kwenye picha unaona kabisa anajisemea leo huko bongo mbona patachimbika kwa kupanda basi hilo 😄 🤣
Mbona bus zuri tu jamani? Hawa wanaosema linafanana na linalokwenda bariadi wameona humo ndani?

Ahaa hata hivyo anajua huku bongo ni story kubwa akirudi watu watasema apande bus kwenda dodoma🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…