National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Naona na muhubiri hapo, mama kakimbilia siti ya dirishaniWakapata na mahindi choma na juice.View attachment 2361799
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona na muhubiri hapo, mama kakimbilia siti ya dirishaniWakapata na mahindi choma na juice.View attachment 2361799
🤣🤣🤣🤣 Naona watu wamepandwa na munkari plus full mchecheto
..watolee ufafanuzi kwanini Rsisi akisafiri huagwa na kupokewa uwanja wa ndege na utitiri wa viongozi wanaoendeshwa kwenye ma-V8.
.. Kwanini viongozi hao wasipande basi maalum kwenda kumuaga au kumpokea Raisi uwanja wa ndege?
Tumeshakubaliana ni Paulo Kagame Mkuu. Umesahau?😄😄😄😄Atafutwe Rais aliewapiga picha maana walikuwa peke yao
Halafu huku hawana hata mda nao
🤣🤣🤣🤣Nasikia marais wanawake wamechambua mchele
Kwani hakuna gari la balozi wetu kule London akapanda peke yake.Wazungu wabaguzi sana.kwani Rais Samia Suluhu amepanda basi peke yake acheni maneo maneno mama katuwakilisha vyema na anaimarisha Diplomasia Tanzania
Wabongo hapana aisee
View attachment 2361670
sioni tatizo ni kwa vile tuna mentality za ufalme , umungu, ukuu, kuabudiwa and the like
Weka kapicha basi mkuuHili jambo wala halihitaji ufafanuzi, wengi wanaolishupalia exposure hakuna.
Viongozi wa nchi zengine mf. China, France, Germany, Brazil, etc. wamepanda mabasi na wala haijawa issue kabisa, ila bongo imekuwa big topic.
Tukiendelea na hizi mentality, hawa mafisi wa kijani watatutawala mapaka Yesu au mtume arudi
Nimecheka kama mwehuAtafutwe Rais aliewapiga picha maana walikuwa peke yao
Halafu huku hawana hata mda nao
Umenena kweli kabisaaWatanzania tuna mambo ya kipuusi sana, Hapa kenya huwezi kukuta upuuzi huo!
Hata parking hakunaHii mada mbona ni ya kitoto sana kiasi cha serikali kuitolea maelezo. Hapo kuna rais wa Kenya pembeni, ina maana na wao serikali itatoa maelezo?.
UK ni ndogo na ratiba ni ngumu siku zote muda hautoshi, hivyo wakaamua wapunguze msongamano kwa kuwapandisha mabasi kwa ajili ya kuwasafirisha baadhi ya wageni.
Aaaaah nimesahau uzeee huu bwanaTumeshakubaliana ni Paulo Kagame Mkuu. Umesahau?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwenda huko umeona kiongozi gn wa G7 kapanda hizo daladala?Watu mna kiherehere shida iko wapi, marais wengi tu wamepanda bus maalum, isipokuwa Biden na PM wa Israel, aibu ni ipi hapo?
Loud and clear,big upWewe ndiyo usiyekuwa na ufahamu kuhusu kitu kinaitwa "Power Relations" kwenye nyanja mbalimbali na hasa linapokuja kati ya taifa na taifa na athari zake.
Kuna siku Obama alienda Saudi Arabia halafu akajiinamisha chini ya mfalme wa Saudia, wamarekani waling'aka hapana mfano.
Kuna stori (sijui kama ni kweli maana sikuwepo) kwamba Malkia wa Uingereza alimsalimia Nyerere huku mikono yake kavaa gloves, Nyerere kuona hivyo naye akareciprocate kwa kumgea kifimbo chake.
Hizi folklore zote zinatengeneza jambo moja la msingi: kutawaliwa kimwili na kiuchumi kunaanza kwa mtu kutawaliwa akili na roho. Msipende kuchukulia vitu poa kudunishwa kwa Rais wa nchi. Ripple effect yake kwa watu wa taifa analoliwakilisha ina nguvu sana.
Kwangu binafsi Rais Samia haniwakilishi mimi huko alikokwenda sijui kuhudhuria msiba wa nani vile. Hilo basi alilopandishwa kapandishwa yeye kama Samia na wala hawajapandishwa watu wa taifa analoliongoza. Watanzania tuna legacy ya taifa kubwa lililowahi kuongozwa na Nyerere na Magufuli na hatuna uduni uduni wa dizaini hizo. Tunaweza kuwa hatuna uchumi mkubwa wa vitu lakini tuna hazina kubwa ya akili na ufahamu na hatukubali uduni wa akili wa wanasiasa walioangukiwa na bahati nasibu ya kutuongoza.