Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Na hapo nimesahau kukwambia kwamba usitake kuchukua mifano ya sijui Germany, Brazil, au China ukaibeba kama ilivyo na kuipaste kwa Tanzania. Kila nchi ina historia yake, namna zake na jinsi ambavyo tukio flani lina athari ipi kwa watu wa nchi hizo.

Na hapo ninabet my two cents (japo sijafuatilia mambo ya kifo cha malkia wa uingereza) kwamba Xi Jinping au Putin hawezi kupandishwa basi moja na marais wengine. Viongozi wengi tu wanaojitambua hawawezi kukusanywa kama mahindi na kuwekwa kwenye gunia moja.
Nyie wajengewa vyoo mnauthamani gani WA kuwapanga host wenu jinsi ya kuwahandle ?
How dare you ? Mmelazimishwa kuhudhuria ?
 
Mkuu hayo ya kupandishwa mabasi ni power relations tu. Ni yule anayejihisi mkubwa kutaka kumwonyesha yule anayemwona mdogo kuwa hilo basi ndiyo nafasi yake anayostahili. Ogopa sana mkuu wa nchi kuchukulia hilo jambo kwamba it's OK. Israel ni nchi ndogo sana na wala haipo kwenye G7 but those guys believe and think as if they rule the world. Na prime minister wao hawezi kukubali kupandishwa basi. Ni haya matakataka ya kiafrika tu.
Andamana
 
Hicho kibibi CCM, nakiona ni aina ya vibibi vikisafiri kutoka Iringa kwenda dsm kikifika ipogoro kinanunua muhindi wa kuchemsha kinakula , kikifika igumbilo kinanunua yoghurt ya buku kinakunywa, kikifika ilula kinanunua nyanya kindoo kimoja
 
Cristina Gallardo from POLITICOEurope reported that the following world leaders and royals travelled to the funeral by bus:
  • King Abdullah II and Queen Rania of Jordan
  • King Carl XVI Gustaf and Queen Silvia of Sweden
  • Queen Margrethe II of Denmark
  • King Felipe and Queen Letizia of Spain
  • Italy’s President Sergio Mattarella
  • Australian Prime Minister Anthony Albanese
  • European Commission President Ursula von der Leyen
  • Polish President Andrzej Duda and wife Agata
  • German President Frank-Walter Steinmeier
  • King Harald and Queen Sonja of Norway
  • President Halimah Yacob of Singapore
Weka picha

Wacha kiswahiliiii.

Bwana picha ako tumeona
 
Sio kazi yangu kukuletea hayo, tangu last week walitoa utaratibu wote na Joe Biden akaruhusiwa kuwa na msafara wake. Sasa wewe pangu pakavu unataka uwe sawa na wanaokulisha. Ulitaka viongozi wote 500 waruhusiwe kuwa na misafara yao. Biden mwenyewe amepewa hadi idadi ya magari yaliyoruhusiwa. Tafuta wewe mwenyewe na uache kusumbua watu, mabasi yalikuwa mengi tu na hiyo picha inayotrend ni wenyewe wamejipiga picha. Yaani sisi pangu pakavu tuna matatizo sana, kutwa kulalamika bila logic na kutwa kusumbuliwa na inferiority complex.
Wakiwa wanatoa misaada tunawaita wadau wa maendeleo, amka mkuu kwani kwa mzingira ya huo msiba ni sahihi kabisa, hayo mengine ni matatizo yako binafsi.

Angalia baadhi ya viongozi waliotumia mabasi alafu unyamaze uendelee maisha. Wao hata picha hawajajipiga na kupost.

Which world leaders used the bus?

Cristina Gallardo from POLITICOEurope reported that the following world leaders and royals travelled to the funeral by bus:
  • King Abdullah II and Queen Rania of Jordan
  • King Carl XVI Gustaf and Queen Silvia of Sweden
  • Queen Margrethe II of Denmark
  • King Felipe and Queen Letizia of Spain
  • Italy’s President Sergio Mattarella
  • Australian Prime Minister Anthony Albanese
  • European Commission President Ursula von der Leyen
  • Polish President Andrzej Duda and wife Agata
  • German President Frank-Walter Steinmeier
  • King Harald and Queen Sonja of Norway
  • President Halimah Yacob of Singapore
Source: The world leaders and royals who took the bus to the Queen’s funeral

View attachment 2361787
View attachment 2361797
Kama huwezi kuprove hao wamepanda yutong nyamaza.
 
Eti " nimesikitishwa...."!!

Yaani wenzako ndiyo kwanza tumefurahi!! Ila wewe umesikitishwa!!


Binafsi ningeona sawa tu hata kama wangepakizwa kwenye lori la wazi aina ya Fuso. Maana wakiwa huku kwetu huwa wanajiona kama vile siyo binadamu wa kawaida. Full kujimwambafai na kujiona miungu watu.
 
Back
Top Bottom