Ila sisi watanzania nani ametuloga? Mbali na adha tunazo pitia ikiwemo ukosefu wa maji,umeme pamoja na huduma mbovu zinazotolewa na serikali,tupo tayar kujadili Minor issues..ambazo hazina impact zozote kwenye jamii zetu..
 
Chadomo haina ramani za majengo yake ya ofisi za wilaya?

Kwa hiyo Hilo ghala ndio la mil.116? 😜😜😜😜😜

Ramani ya ofisi za CDM kwani zinajengwa kwa fedha za chama, au wanachama wake wa maeneo husika wanajenga kutokana na matakwa yao? Hizo ofisi hazijengwi kwa fedha za umma kama zile za CCM.
 
Ila sisi watanzania nani ametuloga? Mbali na adha tunazo pitia ikiwemo ukosefu wa maji,umeme pamoja na huduma mbovu zinazotolewa na serikali,tupo tayar kujadili Minor issues..ambazo hazina impact zozote kwenye jamii zetu..
sio watanzania sema mazezeta ya ccm ambayo yameathiriwa na mwenge wa uhuru kichwani.
 
Nyie takataka mumeshindwa kujibu hoja za Bashiru mnahangaika na Chadema ambayo mnadia siku zote imeshakufa , wapumbavu sana nyie.
 
akili za lumumba lazima ucheke maana akili zenu ni za nguruwe
Tuliza akili sio kila unaemuona humu ni CCM,Chadema au ACT

Na usijikute unajua kujibu pumba kila member humu jukwaani

Jifunze heshima na kusikia kile usichokipenda najua unashabikia Chadema

Sasa kama unapinga maoni ya wengine hiyo demokrasia unayoihubiri inatoka wapi.
 
Alikwambia zimegharimu kiasi hicho nani, be objective kwanza
 
Milion 116!!??? Ccm ni wezi na ata chadema ni wezi vile vile.
chadema alikuibia wewe na familia yako chadema usiifananishe na wapuuz wa ccm mauwaji ya kukata watu na kuwaweka kwenye viroba, yamekuwa yakiwadanganya wajingawajinga kuwa hayapendi mabeberu huku yanapokea hela za mabeberu hio akili matope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…