Mbona jengo limekaa kizamani kabla halijajengwa?

Tafuteni wabunifu wa majengo ya kisasa, achaneni na ushamba huo. Madirisha utafikiri jengo lote ni la vyoo.

Mwaka 2019 huu. Mko wapi? '60s?
Ponda Ponda kazini

Ova
 
afisa mipango mji na mkuu wa wilaya atakayeruhusu huu ujenzi atajutia maisha yake yote na atapotezwa kabisa
 
Mchango wangu kwa kuanzia 1M,Tzs.
 
Hakuna kitu mtu afanye asikosolewe. Anza kujenga tu uone kila mtu ansvokuja na lake.
 
Mbona jengo limekaa kizamani kabla halijajengwa?

Tafuteni wabunifu wa majengo ya kisasa, achaneni na ushamba huo. Madirisha utafikiri jengo lote ni la vyoo.

Mwaka 2019 huu. Mko wapi? '60s?
Mbona hiyo iliyopo mnailalamikia kuwa ni ya zamani, hii haijajengwa bado, bado mnaihukumu ya zamani. Binadamu kweli hawana jema.
 
Kampeni hewa ya mbowe hiyo kutaka aendelee kupewa uenyekiti chadema.Uchaguzi mkuu wa chadema uko njiani.Sasa hivi utasikia kila Aina ya propaganda za chadema sijui kufanya hiki sijui kufanya kile vyote hewa hewa tu kuwalaghai Wana chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…