Ikuponya umwenyekiti gwako Lumuli hah hah
 
Uwezo wako wa kutafakari kabla ya kujenga hoja unatia shaka sana.
 
mmmh! mlimola.....mbona pwani walijenga mjengo wao zamani tu.... kabila ya sumaye....na uzi ukawekwa hapa jamvini kuwapongeza...utafute huo uzi...upo humu...na tuliwapongeza kwa jitihada...zao

mimi sio mshabiki wa chama chochote....ila hizi proganda za fedha za lowasa...sijui za nani....sioni kama zina nguvu kama umoja wa wanachadema weyewe kujitoa bila kulipwa kukipigania chama chao....kama sio hivyo

fitina zilizopo kwenye uwanja wa siasa ungekuta wameshasambaratika zamani....kongole kwa mwenyekiti na genge lake ulilolitaja kwa kusimama imara..
 
Wewe mjinga nini, unaweza Kuwafananisha, chadema ya waoga na wale majasiri wa somali, Waliomtimua mara kwani na majeshi yake na silaha zake za kisasa.


Chadema hii ya Tz au Ile ya kule Somalia?
.
 
Acheni utani
Chadema wameshindwa kuanzisha hata redio wataweza jengo?
Hiyo ni kazi ya wapuuzi waliojazana mitandaoni,ametumia auto CAD na graphics kuwafurahisha nyumbu
 
CHADEMA Chama kubwa kujenga ofisi ni jambo dogo tuu!!!
Wakuu msirudi nyuma ni mbele kwa mbele!!
 
Labda hati ya nyumba wampe mzee kilomoni hawakawii kulikopea hela za kampeni
 
Mhe. Mbowe unapozunguka mikoani kuzindua ofisi ya chama za majimbo usiasahu hitimisho la safari hii litakuwa Dodoma au Dsm au Pwani na utawajibika kuwaonyesha wananchi eneo lakujenga ofisi ya Makao Makuu.

Nikuombe fanya ufanyavyo ila unapohitumisha operesheni hii ya Chadema digital make sure unawapa taarifa wanachama na wapenzi wa mageuzi nchini ni wapi tutajenga ofisi au endapo Kuna jengo lenye kufaa kuwa ofisi za makao makuu Basi waambie wananchi ni shs ngapi inahitajika kununua eneo hilo.

Uliahidi kung'atuka 2023, tusingependa Watanzania wafanye sherehe wakiwa hotelini, Bora katika kiwanja hicho utakachozindua tuweke tents lakini tuweke nia ya dhati kwamba shughuli zote za chama zitafanyika kwenye ofisi tulizojenga wanachama na siyo ulizojenga wewe Wala ruzuku. Wananchi wanataka kuona Wana eneo wanalojua Ni lao na liliwasaidia kutafuta ukombozi wa pili taifa lao.

Jengo ambalo ni Mali ya chama na wanachama litalindwa kwa nguvu zote kuliko kutuachia ofisi ya kupanga ufipa.

Tuanze Sasa na amini maneno yangu, Jambo hili litafanikiwa kwa asilimia kubwa kwa sababu Sasa hivi wapo ccm wanaohitaji Chadema imara ndipo waheshimiwe. Kukosekana kwa Chadema imara kunawafanya waliopo juu ya CCM kujiamulia wanavyotaka. Fedha za kujenga wananchi wanazo na ndani ya miaka miwili kuelekea 2023 tuna amini tutakuwa na makao makuu ya chama hiki hata Kama ni nyumba Kama madarasa ya shule za kata lakini Ni makao Makuu.

Zingatia na fanyia kazi kwa ustawi wa Chadema lakini pia kwa legacy yako kwa vizazi vijavyo.
 
yaani haikuwezekana ofisi za chama kujengwa kipindi cha ruzuku,ije iwe baada ya watu kustaafishwa na jiwe the hammer[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…