lazima makao makuu yajengwe mahali ambapo wana wanachama na wapiga kura wengi
 
Hizo ofisi ni kiini macho, hakuna ofisi ya jimbo hata moja iliyojengwa.
Jiulize viwanja walinunua lini? Hawa wazee wa michango ungeona humu wakichangisha kununua viwanja?
 
Umewaza vizuri sana mjukuu, naomba kuongeza tu zoezi la kuanza kujenga Makao makuu liende sambamba na kuanza kutekeleza sera ya majimbo au kanda kwa kila mwenyekiti wa Kanda kutafuta kiwanja na kuanza kujenga hata Kama zitakuwa two rooms lakini kila Kanda iwe na eneo kumbwa la ofisi.

Structures zina nguvu kubwa sana katika kukamilisha msukumo wa ndani wa binadamu wa kuamini na kufuata anachoaminishwa. Leo ukitaka kuoa lazima uonyeshe nyumba, uwezi kuoa ndipo ukatafute Kodi ya pango au kuwaza kujenga. Unayemwoa lazima ajue ataenda kuishi wapi na lazima awe na eneo ambalo wakwe wanalifahamu ili mtoto wao anapopata tatizo wajue pKuanzia.

Mnataka tuwape madaraka tuonyesheni kwamba mna makazi ya kudumu. Tuonyesheni nyumbani ambapo tutakuwa free kuingia na kumtoa mpangaji yeyote ambaye tutamwona hatufai. Tuonyesheni dira tujichange tujenge eneo ambalo litatupa nguvu ya kuwaamini na kuwawajibisha.

Mwenyekiti tekeleza
 
Kweli chadema itajengwa na wenye moyo.
 
Sijui ikijengwa offisi ya makao makuu vijana wa Mwendazake watakuja na hoja gani nyingine.

Naunga mkono hoja tukusanye hata billion 5 tujenge mgorofa wa kisasa.
Wanadhani Chadema ni majengo😅😅
 
Point kubwa sana hii
 
Hizi akili hizi,badala ya kuuliza kwanini serikali inaendelea kumwaga pesa atcl wakati shirika linaendelea kupata hasara. Wewe unauliza milioni 100!ATCL hasara yake imefika biliioni 400!

Pale hazina na Tasac Kuna vidume vimekula zaidi ya milioni 500! Kwa kukaa vikao tu!!na hakuna aliyechukuliwa hatua.

Hizo millioni 100 walizopewa Chadema, ni pesa binafsi, sio za umma.
 
Hawezi acha huo mpunga uzagae pale ufipa. Atakuwa kasha ushughulikia zamani.
 
Chadema ni mali ya umma kamanda. Hujui lolote.
 
"CHADEMA ni pesa binafsi" mmmh!
 
2010 - Namwona Willbrod Peter Slaa akishuhudia kwa pembeniiii

Kwani Slaa anasemaje?
 
Hapana hapana hapana tuna haki ya kujuwa mbowe alizipeleka wapi hizi hela tukiwaambia Mbowe mpigaji mnamtetea kama mnavyoamini sasa hivi hawezi kuwa gaidi aliwezaje kula hela yote hiyo lakini na nyie Chadema kama mmelogwa na mbowe kweli hamuwezi hoji hizo hela ziko wapi?
 
Gaidi hawezi acha huo mpunga uzagae pale ufipa. Atakuwa kasha ushughulikia zamani.
Zamani sana wamebaki kina Erythrocyte wanashabikia wazungu mahakamani wacha angalau alipe kidogo huko mahabusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…