Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Mama yetu Samia tuna kuheshimu sana jizuie ulimi wako usinene yasiyo haki au ushalewa sifa kuwa u mweupe na u mzuri ?
Mume wa mama Samia aandike maumivu na kama ana uwezo wa kushika mimba, awamu hii wakishinda yeye na Meko tutarajie mtoto mjukuu hapo
 
Hawa wamebakisha kidogo wataanza kutajana majukwaani.
Mungu hadhihakiwi.
 
Jamani hivi bado Chadema hamuelewi kwamba Lissu alipigwa Risasi kwasababu ya nafasi ya Mwenyekiti 😀😀😀😀😀😀😐
Alafu Chadema wakatoa cctv camera eneo la tukio, wakamnyima matibabu, wakazuia watu kuvaa fulana za pray for Lissu, wakazuia watu kumchangia damu na kumuombea Lissu, mwisho wakamvua na ubunge???

Kweli Chadema wananguvu na wanaendesha Serikali kwa kivuli cha Magufuli!
 
Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
Swali ambalo huwa hamtaki kujibu, hao wadeni walikuwa na Uwezo gani kuondoa Walinzi getini? Na walikuwa na Uwezo gani kurudi siku ya 2 kung'oa CCTV? Na walikuwa na Uwezo gani kuzuia report ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge isisomwe Bungeni? Walikuwa na Uwezo gani kukataa kumlipia Lissu matibabu? Walikuwa na Uwezo gani kumfuta Lissu Ubunge?

Mwache ufala Unajua!
 
Umeanza vizuri,nikafikiri huu ndo utakuwa mwanzo tujibizane kwa hoja, ila hapo mwishoni, ndo umeharibu, shule hajaenda mama yako na baba yako, na hata wewe pia.
 
Duu ya chichim ndo sera zimeisha namna hii pumzi imekata now hadi mama anaongea utopolo
 
Huyu mama ni mafia sana uchaguzi wa 2015 alikuwa anatembea anagawa hela kwa kificho.
 
Mume wa mama Samia aandike maumivu na kama ana uwezo wa kushika mimba, awamu hii wakishinda yeye na Meko tutarajie mtoto mjukuu hapo
Huyo mama anayo madhaifu yake, Madhambi yake mengi lakini chadema waliamua lustily tu kiutuuzima
 
kwa hiyo Mbowe ndo aliyeng'oa CCTV camera na kuondoa walinzi?
 
Umeanza vizuri,nikafikiri huu ndo utakuwa mwanzo tujibizane kwa hoja, ila hapo mwishoni, ndo umeharibu, shule hajaenda mama yako na baba yako, na hata wewe pia.
kwani ukimtaja baba na mama yake hapa badala ya buku saba inajiufunga kumi?
 
Hizo sio risasi ni magoroli ya ndege, wewe unajua risasi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…