Anasikitisha
 
Mmmmm
 
Hadi 2025 maeneo yafuatayo yatakua chini ya waarabu

1. Serengeti national park
2. Airports zote kubwa
3. Bandari zote za maziwa
4. Bandari zote za bahari
5. Bandari kavu zote
6. Ngorongoro
 
Mliokuwa mnaumauma maneno.... Lissu Katapika...

Haya Wazanzibari sasa tunaanza upyaaaa....

Twende sasa..
 
Usijidanganye.
Usifikiri hivyo "vyombo vya utendaji" ni misukule ya aina fulani unayoweza kuitumia tu na ikatimiza unachotaka hata kama ni uchafu usiokubalika.
Nguvu kubwa ya CDM na wote walio nyuma yake katika suala zima la port imeshafahamika chanzo chake ni kina nani.
 
Hakuna mwenye Akili Timamu na anayejitambua anayeweza kumsikiliza au kusikiliza maneno yanayotoka kwenye mdomo wa Tundu lissu ambaye Ni mtu mwongo ,kigeugeu,asiye na msimamo na asiyeeleweka anasimamia Nini.

Jiulizeni lissu alisema Nini juu ya lowasa miaka ya 2008-2015 July na akasema Nini kwa mdomo huo huo mwaka huo wa 2015? Lissu Ni Tapeli na mbabaishaji tu,ndio maana kwa Sasa watanzania wanampuuza na kudharau Sana kwa kuwa wametambua ya kuwa Ni mtu mwongo na mbabaishaji,mchonganishi na mwenye chuki binafsi.
 
Lissu ongoza jahazi watanganyika waikomboe nchi inayotaka kuuzwa kwa waarabu

Watanganyika walikuwa hawajapata hotuba iliyonyooka kama yako

Ni wakati wenu watanganyika kuungana kuzuia nchi isiuzwe kwa wale waharibifu na wanaoharibu nchi za watu
 
Mh ngoja mbogamboga crew waje!!
 
Bora tushukuru pamoja na maridhiano yao wameweza kutofautiana nae kwenye maslahi ya taifa
 
Naamini walivyo mvivu hata kutembea itakuwa alikuwa anasinzia wakati anasaini
 
Lissu ongoza jahazi watanganyika waikomboe nchi inayotaka kuuzwa kwa waarabu

Watanganyika walikuwa hawajapata hotuba iliyonyooka kama yako

Ni wakati wenu watanganyika kuungana kuzuia nchi isiuzwe kwa wale waharibifu na wanaoharibu nchi za watu
Kuna ya Lugemeleza, na mwakibusu zisikilize
 
Balile
Jesse kwayu
Kibanda
Kubenea
Maloto
Neville meena
Hao ni baadhi yao
 
Lisu bana eti mkataba hauna mwisho ni hadi bahari ikauke🤣🤣🤣🤣
 
Nini kimegeuza mawazo ya Mheshimiwa ? Aliwaza nini? Je aliwaza matokeo ya maamuzi yake?
 
Katika wanasiasa niliokuwa nawausudu ni Slaa na Lissu,nilimchukia Lissu alivyoanza kumshambulia Magufuli wakati anavunja mikataba ya kinyonyaji ya akina Barrick,na alivyongeuka Slaa suala la Lowassa.Lissu ni mwanasiasa anayetembea na upepo hana msimamo,ila kwa hili la kuuza Tanganyika tuko pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…