Huu mkataba wa bandari unasononesha sana, Samia ni zaidi ya msaliti.
 
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samia aliwateka wapinzani wakawa wavmnafurahia eti wanaponywa majeraha kumbe ni gia ya kuuzwa kwa waarabu.
 
ishu ya bandari ccm waangalie sana inaweza kuwang'oa
Mmh! Watanzania unawafahamu vizuri mkuu? Hii ishu inaongelewa kwenye mitandao tu lkn mitaani watu wako bize na Yanga na Simba.

Tena hata mitandaoni huku, unaweza kukuta ni mtu mmoja mwenye ID 4 hapa JF halafu huyo huyo anaandika na Instagram, Twitter, Facebook, n k

Kuna haja ya dunia kufanya tafiti upya ili kujua aina ya binadamu wanaopatikana Tanzania
 
Umelipwa shi ngapi?
 
Kama haya ni kweli kayasema Lissu basi kuna shida anayo Lissu. Sikutegemea mtu mwenye nafasi kubwa kwenye chama cha Siasa kutamka maneno kama yanavyosomeka hapa. Kumuita Mh.Rais kua ni Mzanzibar kwanza ni kututukana watanzania...yaani anataka kutuaminisha kua nchi yetu inaongozwa na mtu wa Taifa jingine.
Kuringana na kauli kama hizi CHADEMA itakua vigumu kujivua zile tuhuma za ukanda na udini. Ningemshauri Mh.Lissu katika ili la kuendeleza Bandari yetu ,basi awe anachagua kauli za kuongea mbele za watu. Kauli za kuligawa Taifa sio nzuri kwa Taifa letu.
 
Huu ni upumbavu unaokusumbua mpuuzi wewe.

Kwa vilewewe ni mgeni sana humu, hata hujui historia zetu kuhusu maswala yanayoihusu nchi hiyo, halafu unakuja hapa kuropoka tu kama kichwani huna kitu.
Wapumbavu ni nyinyi mnaoeleweshwa halafu hamuelewi chochote. Kujiunga humu miaka mingi iliyopita sio wingi wa akili au busara.

Tundu Lissu ni CHADEMA, walioamua kuikomoa bandari ya Tanzania kwa siasa nyepesi za ujira mdogo unaokwisha kesho tu.
 
IGA ikisema Bandari zote Tanganyika ziwe chini ya himaya ya Kampuni ya nchi husika, na kama matatizo yakitokea mbele ya safari kwenye utekelezaji huna njia ya kuondokana...
Unarudia makosa yale yale ya wengi wetu kudhani kwamba mkataba uliosainiwa bungeni ndio huo unaokwenda kutumika katika michakato ya kibiashara.

Kilichopita bungeni ni makubaliano tu yenye kuwezesha uwekezaji kufanyika. Biashara zote zinazokwenda kufanyika zinategemea baraka ya bunge ndio maana wakasaini huo mkataba MAMA.

Makubaliano ya wafanyabiashara wa ndani na wale wa Dubai ndio yatakayoifanya mikataba mipya ikawa na uhai mrefu au mfupi.

Kwa taarifa yako kuvunjika kwa mikataba ya kibiashara ndio kusitishwa kwa hiyo IGA unayoisema wewe. Hiyo IGA inategemea uhai wa mikataba mingine ya kibiashara itakayoingiwa kati ya pande mbili. Kuvunjika kwa hiyo mikataba itakayoingiwa baadae ndio kuvunjika kwa mkataba mkuu.

Hakuna kinachosainiwa au kinachoingiwa kama makubaliano kati ya pande mbili zinazotengeneza mkataba, halafu kishindwe kuvunjika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…