Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu
Napinga tafsiri potofu sana za uwekezaji kwa kumhusisha mwekezaji na historia ya miaka ya 1880 huko, mambo yaliyotokea miaka zaidi ya 120 iliyopita.

Vipi kuhusu Mjerumani aliyeua wanamibia zaidi ya milioni mbili, ana ubinadamu kumzidi mwarabu?. mbona anatoa misaada dunia nzima mpaka kesho?.

Tuje na hoja za kumshindanisha hiyo DPW na makampuni mengine yanayofanya shughuli kama yake sio kurudi kwenye akili za kipuuzi za kujadili masuala ya enzi za utumwa.
Hizo kashfa za mikataba ya akina Chenge ni ya miaka 120 iliyopita?

Ukoloni uliisha lini dunia hii kama hujitoi tu ufahamu?

Nimekwisha kupa 'grade', wewe siyo 'Great Thinker' anayekidhi heshima hiyo.
 
KIJANA Mzalendo David Levi amemtuhumu Prof. Mbarawa kuhusika na uhaini kwa kukubali kusaini mkataba wenye maudhui ya kuuza sehemu ya nchi ya Tanzania kwa utawala wa Dubai.

Amemtaka pia Prof. Mbarawa kukaa kimya kwa sasa akisubiri hatua zaidi dhidi yake kwa uhaini alioufanya.
 
Kama uzalendo ni kupitisha madawa ya kulevya bandarini, kupitisha baadhi ya mizigo ya wasiotaka kulipa kodi mlango wa nyuma na baadae mpitishaji kupewa chake mtaani na mwenye mzigo, kuuza vyuma vya magari na bidhaa mbali mbali zilizokwama bandarini, kutumiwa na wakenya wanaopinga bandari zetu kuendeshwa na watu watakaoleta ufanisi na uwajibikaji kazini ili bandari zao za Lamu na Mombasa zisigeuke masoko ya kuuzia samaki, Sawa.

Basi mzee Nyerere atakuwa ametengeneza taifa la hovyo ambalo vijana wake wapo tayari kutumiwa na adui kwa sababu ya vijisent vidogo vya mboga na ujinga wa kutafakari ya kesho.
 
Kama uzalendo ni kupitisha madawa ya kulevya bandarini, kupitisha baadhi ya mizigo ya wasiotaka kulipa kodi mlango wa nyuma (bila kulipa kodi) na baadae mpitishaji kupewa chake mtaani na mwenye mzigo, kuuza vyuma vya magari na bidhaa mbali mbali zilizokwamba bandarini, kutumiwa na wakenya wanaopinga bandari zetu kuendeshwa na watu watakaoleta ufanisi wa na uwajibikaji kazini ili bandari zao za Lamu na Mombasa zisigeuke masoko ya kuuzia samaki.

Basi mzee Nyerere atakuwa ametengeneza taifa la hovyo ambalo vijana wake wapo tayari kutumiwa na adui kwa sababu ya vijisent vidogo vya mboga na ujinga wa kutafakari ya kesho.
hayo maelezo yako yako ibara gani ya mkataba?
 
Kama uzalendo ni kupitisha madawa ya kulevya bandarini, kupitisha baadhi ya mizigo ya wasiotaka kulipa kodi mlango wa nyuma na baadae mpitishaji kupewa chake mtaani na mwenye mzigo, kuuza vyuma vya magari na bidhaa mbali mbali zilizokwama bandarini, kutumiwa na wakenya wanaopinga bandari zetu kuendeshwa na watu watakaoleta ufanisi na uwajibikaji kazini ili bandari zao za Lamu na Mombasa zisigeuke masoko ya kuuzia samaki, Sawa.

Basi mzee Nyerere atakuwa ametengeneza taifa la hovyo ambalo vijana wake wapo tayari kutumiwa na adui kwa sababu ya vijisent vidogo vya mboga na ujinga wa kutafakari ya kesho.
Kweli wee ni dudumizi!!
 
Kweli wee ni dudumizi!!
Uzuri na hili nalo wakenya na ma puppet wao wataangukia pua kama walivyoanguka kipindi cha Loliondo.

Namuamini sana mama Samia, hajawahi kushindwa vita na wakenya.
Wakimwaga ugali yeye anamwaga mboga hadi kinaeleweka.
Wakwepa kodi, wakenya na wapitisha madawa ya kulevya maji ya shingo 🤣🤣🤣
 
Hii siyo comment ya Nape kweli??
 
We mzalendo kweli? Tuonyeshe kifungu ndani ya ule mkataba kinachoonyesha ww utapata ngapi m Dubai akishapata mapato?
 
Kwahiyo kumbe watu wengi mnapinga huku mkiwa hamjauona wala kuusoma mkataba wenyewe.

Ndio maana ni rahisi sana baadhi ya vijana kutumiwa na wanasiasa uchwara.

Siendi mbali maana tayari kuna mdau kaishauweka humu mtandaoni
 
Attachments

  • Screenshot_20230621-115200.jpg
    Screenshot_20230621-115200.jpg
    45.5 KB · Views: 4
Kama uzalendo ni kupitisha madawa ya kulevya bandarini, kupitisha baadhi ya mizigo ya wasiotaka kulipa kodi mlango wa nyuma na baadae mpitishaji kupewa chake mtaani na mwenye mzigo, kuuza vyuma vya magari na bidhaa mbali mbali zilizokwama bandarini, kutumiwa na wakenya wanaopinga bandari zetu kuendeshwa na watu watakaoleta ufanisi na uwajibikaji kazini ili bandari zao za Lamu na Mombasa zisigeuke masoko ya kuuzia samaki, Sawa.

Basi mzee Nyerere atakuwa ametengeneza taifa la hovyo ambalo vijana wake wapo tayari kutumiwa na adui kwa sababu ya vijisent vidogo vya mboga na ujinga wa kutafakari ya kesho.
Hakuna Rais kama Nyerere funga kinywa chako.
 
KIJANA Mzalendo David Levi amemtuhumu Prof. Mbarawa kuhusika na uhaini kwa kukubali kusaini mkataba wenye maudhui ya kuuza sehemu ya nchi ya Tanzania kwa utawala wa Dubai.

Amemtaka pia Prof. Mbarawa kukaa kimya kwa sasa akisubiri hatua zaidi dhidi yake kwa uhaini alioufanya.
Huyo kijana anamatatizo ya akili?

Atashindwaje kujua mhaini husika, na kwenda kumparamia mtu asiyeweza lolote?

Mbarawa ni mtumishi tu, aelekze hoja yake ya uhaini kwa mhusika mkuu wa uhaini wa nchi hii.
 
KIJANA Mzalendo David Levi amemtuhumu Prof. Mbarawa kuhusika na uhaini kwa kukubali kusaini mkataba wenye maudhui ya kuuza sehemu ya nchi ya Tanzania kwa utawala wa Dubai.

Amemtaka pia Prof. Mbarawa kukaa kimya kwa sasa akisubiri hatua zaidi dhidi yake kwa uhaini alioufanya.
clip please
 
Uzuri na hili nalo wakenya na ma puppet wao wataangukia pua kama walivyoanguka kipindi cha Loliondo.

Namuamini sana mama Samia, hajawahi kushindwa vita na wakenya.
Wakimwaga ugali yeye anamwaga mboga hadi kinaeleweka.
Wakwepa kodi, wakenya na wapitisha madawa ya kulevya maji ya shingo 🤣🤣🤣
Hivi unadhani bado kuna watu ambao wanauamini ujinga huu unaoueleza hapa kwa lengo la kupotosha wanachokikataa waTanzania?
 
Back
Top Bottom