Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenikumbusha nimkumbuke Marehemu Mchungaji Mtikilla.Duu lisu Bwana!
We umelipwa shillingi ngapi?Umelipwa shillingi ngapi ?
Mkuu umenikumbusha nimkumbuke Marehemu Mchungaji Mtikilla.Duu lisu Bwana!
vyovyote iwavyo, mwarabu haikubaliki kuchukua bandari za nchiHii DP world itasimamia bandari za Tz nzima mpaka za Zanzibar ( maana ni sehemu ya Tz) au Tanganyika tu kama Lissu anavyodai ? Kwani mamlaka ya bandari si hiyo hiyo moja ?.....
Lissu awe makini asipoteze muelekeo wa mjadala na akanasa kwenye mtego wa wajanja, ajikite na makubaliano ya hiyo MOU tu, hayo ya Tanganyika na Zanzibar ni spinning za watu wenye malengo yao.
Kalamu Nguruvi3 JokaKuu Pascal Mayalla
wataibuka wengine wengi wakali kuliko huyu mmoja unayemuona ni nomaBora apigwe risasi tena
Mkuu Tabutupu una uhakika na jambo hilo? Ina maana kwa sasa mashirika hayo yanaleta hasira?Hadi 2025 maeneo yafuatayo yatakua chini ya waarabu
1. Serengeti national park
2. Airports zote kubwa
3. Bandari zote za maziwa
4. Bandari zote za bahari
5. Bandari kavu zote
6. Ngorongoro
Mkuu Lukas, wewe umeusoma huo Mkataba au unachuki tu na mtu?Hakuna mwenye Akili Timamu na anayejitambua anayeweza kumsikiliza au kusikiliza maneno yanayotoka kwenye mdomo wa Tundu lissu ambaye Ni mtu mwongo ,kigeugeu,asiye na msimamo na asiyeeleweka anasimamia Nini.
Jiulizeni lissu alisema Nini juu ya lowasa miaka ya 2008-2015 July na akasema Nini kwa mdomo huo huo mwaka huo wa 2015? Lissu Ni Tapeli na mbabaishaji tu,ndio maana kwa Sasa watanzania wanampuuza na kudharau Sana kwa kuwa wametambua ya kuwa Ni mtu mwongo na mbabaishaji,mchonganishi na mwenye chuki binafsi.
kama yule mbunge wa afrika mashariki..Znz ina mamlaka yake ya bandari.
..Na sheria ya uanzushaji wa Tanzania Ports Authority inaelekeza kwamba itashughulika na bandari za Tanganyika tu.
..muungano una ujanja-ujanja mwingi na watu wakisema wanashambuliwa kuwa ni wadini na wabaguzi.
..Wazenj wakikosolewa ni wepesi kujificha ktk dini na ubaguzi.
kama ni hivyo nchi itakuwa shamba la bibiMikataba zaidi ya thelathini kendaa si mchezo,,,kituo kifuatacho ATCL!!
Mbona umeacha kutaja wanasiasa nao watawekezwa wafanye promo ya kuuza nchi yaoHadi 2025 maeneo yafuatayo yatakua chini ya waarabu
1. Serengeti national park
2. Airports zote
3. Bandari zote za maziwa
4. Bandari zote za bahari
5. Bandari kavu zote
Wanajali basi. alafu pesa yenyewe mil 6Hayo maandishi ya habari yaliyopewa hongo yanajisikiaje nchi yao inauzwa kwa waarabu? Njaa zingine ni za kuedekeza
Mkuu huyu naye ni wale wale, tunahoja za kwenye mkataba; sote tuna pita kwenye CHANZO na chanzo cha UHAKIKA ni MKATABA, hawa wengine ni wa kujadiliana nao katika hoja ambayo imebebwa na MKATABA. Watanganyika wengi hubadilika katika mitazamo yao kutokana na yeye kama yeye anavyo faidika na jambo hilo, kwa moja kwa moja ama kwa kupitia kwa mtu fulani na sio kwa faida ya Nchi.Chadema wanatafuta kiki Ili wa trend 😁😁
'Reasonable.' 'Fair enough'!Hauna ubovu wowote huo mkataba Mama. Kaka hii mikataba inaandikwa sio ndani ya siku moja, inajumuisha wataalam wa Dubai na Tanzania.
Tupunguze huu ujuaji wetu wa JF, waliosaini huu mkataba ni madaktari wa sheria wenye uzoefu mkubwa wa kusaini na kufanya majadiliano ya kina juu ya haya masuala.