Hizo kashfa za mikataba ya akina Chenge ni ya miaka 120 iliyopita?Napinga tafsiri potofu sana za uwekezaji kwa kumhusisha mwekezaji na historia ya miaka ya 1880 huko, mambo yaliyotokea miaka zaidi ya 120 iliyopita.
Vipi kuhusu Mjerumani aliyeua wanamibia zaidi ya milioni mbili, ana ubinadamu kumzidi mwarabu?. mbona anatoa misaada dunia nzima mpaka kesho?.
Tuje na hoja za kumshindanisha hiyo DPW na makampuni mengine yanayofanya shughuli kama yake sio kurudi kwenye akili za kipuuzi za kujadili masuala ya enzi za utumwa.
Ukoloni uliisha lini dunia hii kama hujitoi tu ufahamu?
Nimekwisha kupa 'grade', wewe siyo 'Great Thinker' anayekidhi heshima hiyo.