Kuwa na mjomba mbunge inampa nguvu uyo bwamdogo uwenda kuna kosa lingine kubwa kafanya mpaka kaingizwa hapo kwa siafu.
 
No excuse brother, ulitakiwa kusimama palepale eneo la tukio. We ulitegemea ataenda kutoa maelezo gani na gali si lake na lina damage?
 
Nilipooona tu mhusika anendesha IST nikaacha kuangalia tena, hawa mabwana wenye Vi ai ST wanabinua sana makalio na kubana pua kuanzia kuongea hadi matendo yao. Wakome kutulingia sisi wenye AVON na PHOENIX zetu kitaaa maisha ni hayahaya
 
No excuse brother, ulitakiwa kusimama palepale eneo la tukio. We ulitegemea ataenda kutoa maelezo gani na gali si lake na lina damage?
Hawakugongana, ilikua ni kuchomekeana.
 
 
Sikubishii mkuu wangu.
Barabarani kuna mambo mengi sana, usipokuwa mpole na kuchukua tahadharani, utajikuta unapoteza mali na muda wako.

To be honest ningekuwa mimi ni huyo wa IST ninge inogotiate na jamaa mapema, hakuna haja yakubishana nae!!

Nilivyoona tu ana dalili za kunisimamisha, ningesimama kabla yake ili tutayamalize.

Madam hajanigonga, sijamgonga kulikuwa hakuna haja ya kuzozana.

Huyo mdau hapo kamaliza muda wake bure, na simu walimchukulia sasa sijui alikuja kumpataje huyo mjomba wake m'bunge.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 

Kumbuka ubunge wa nduguye umekuja kama hatua ya mwisho kabisa akiwa sasa hana namna mikononi mwa watesi wake.

Dogo huyu yumkini ni ka teenager fulani.

Katika hatua hiyo labda ulitaka abakie kulia tu?
 
Kuna pumbavu mwingine alikuja kwenye mgahawa mmoja nilikuwa nimeachiwa pale karibu na Makumbusho. Amemaliza kula akataka kukimbia, mfanyakazi mmoja akamtia pini pale. Akaanza kusema kuna mtu nilikuwa nataka nimcheck hapo pembeni, akaambiwa lipa uende; mara huyo jamaa ndio ana hela ya kulipia. Akataitiwa pale, kidogo kaanza mimi usalama wa taifa... hapo ndio akatuchefua zaidi. Tukamwambie ofisini kwenu sio mbali, twende kwa bosi wako akalipe! Akabaki anatoa macho. Mwisho wake aliacha simu pale, baada ya wiki alikuja kulipa.

Hata kama angekuwa usalama kweli, ujasiri wa kwenda kwa bosi wake na deni la wali nyama alikuwa hana. Shenzi kabisa yule.
 
Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.

View attachment 2182373

Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?

Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
Mbona vijana mnakuwa wapumbavu na wajinga kiasi hiki cha lami? Do we read kweli sheria?
Hivi unajuwa usalama wa Taifa nieneo hatari kurecord au kufanya chochote?
Unajuwa kwakufanya kosa hilo unaweza kupotea natusikuone mpaka kiama pasipo jali wewe ni mtoto wa nani?
Je unajuwa maeno kadhaa ktk jiji la dsm nihatari hata kupak gari nje?
Je unajuwa call zote na watu wanapita nje ya ofisi za usalama wa Taifa zinakuwa intercepted kutoka mbali sana?
Haya utampigia mjomba wako mbunge... Kwa ujinga na upumbavu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…