Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Kuwa na mjomba mbunge inampa nguvu uyo bwamdogo uwenda kuna kosa lingine kubwa kafanya mpaka kaingizwa hapo kwa siafu.
 
No excuse brother, ulitakiwa kusimama palepale eneo la tukio. We ulitegemea ataenda kutoa maelezo gani na gali si lake na lina damage?
 
Nilipooona tu mhusika anendesha IST nikaacha kuangalia tena, hawa mabwana wenye Vi ai ST wanabinua sana makalio na kubana pua kuanzia kuongea hadi matendo yao. Wakome kutulingia sisi wenye AVON na PHOENIX zetu kitaaa maisha ni hayahaya
 
No excuse brother, ulitakiwa kusimama palepale eneo la tukio. We ulitegemea ataenda kutoa maelezo gani na gali si lake na lina damage?
Hawakugongana, ilikua ni kuchomekeana.
 
Kwa mara nyingine,tuonyesheni umoja na mshikamano katka hili hata kama wengine halituhusu ila ifike MAHALI Jamii Forum iogopwe.

Tupaze sauti,Hili tukio lifike linapostahili kufika na wenye connection watuletee mrejesho,mimi kazi yangu nikutia NUKTA uzi upande hewani kila nitakapohisi umepooza.

Huna cha ku comment tia NUKTA uzi upae hewani hadi hao waliohusika hapo kila mtu apewe stahiki zake na iwe mwanzo na mwisho huu uonevu,Tukiamua wananchi sisi kwa sisi inawezekana.

Hamna cha katiba mpya hapa Maamuzi ni yetu wenyewe tuamueni TU.
 
Usibishe. Iliwahi kunitokea. Mi nimesimama kwenye taa nyekundu. Nasubiri ya kijani. Nyuma kuna roli. Dereva hana mpango wa kusimama. Alivyofika tu kwenye taa, zikabadilika zikawa kijani. Na mimi nikaondoa gari. Najua mimi ndio wa kwanza mbele kwa wale tuliokuwa kwenye mstari wa kusibiri taa za kijani. Alipopita taa, akabadili njia. Akatoka kushoto kwake akaja kwangu kulia, akanibana kabisa nikakosa njia. Nikasisima ghafla. Matairi ya nyuma ya roli lake yakanikosasa. Akaendelea kama vile hajafanya kitu chochote. Ningekuwa na bunduki na mimi siku hiyo ningeua mtu.
Sikubishii mkuu wangu.
Barabarani kuna mambo mengi sana, usipokuwa mpole na kuchukua tahadharani, utajikuta unapoteza mali na muda wako.

To be honest ningekuwa mimi ni huyo wa IST ninge inogotiate na jamaa mapema, hakuna haja yakubishana nae!!

Nilivyoona tu ana dalili za kunisimamisha, ningesimama kabla yake ili tutayamalize.

Madam hajanigonga, sijamgonga kulikuwa hakuna haja ya kuzozana.

Huyo mdau hapo kamaliza muda wake bure, na simu walimchukulia sasa sijui alikuja kumpataje huyo mjomba wake m'bunge.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Makosa yanaweza kutokea pande zote hao ndugu zetu katika medani ila hata huyo bwana na ist yake ni wale wale tu,pale aliposema mjomba wangu mbunge atanitoa nikaona baasi huyu ni aina ya wale watu wasumbufu hadi mtaani kisa tu anajuana na fulani kisa tu yeye fulani kisa tu ana watu fulani ikumbukwe kuna wakati mpaka uwapate hao watu wa kukusaidia ushachakaa vibaya mno huyo bwana ist nae wale wale

Kumbuka ubunge wa nduguye umekuja kama hatua ya mwisho kabisa akiwa sasa hana namna mikononi mwa watesi wake.

Dogo huyu yumkini ni ka teenager fulani.

Katika hatua hiyo labda ulitaka abakie kulia tu?
 
Kuna fala mmoja huwa anajifanya au sijui ndio security wa Taifa kweli!!!? Nilikuwa nasikia sana tabia zake za kuwa akikutaa bar unakunywa na yeye anaagiza kama uvyokunywa wewe kisha anasema utalipa wewe,.
Bahati nzuri mimi sinywi ila nikasema hasirogwe kuingia katika anga zangu za aina yoyote hile.
Siku moja nikaenda bar na rafiki yangu mmoja alikuwa ananywa zake bia mimi nikiwa nakunywa sparletar yangu mara jamaa kaja na kama kawaida yake siku hiyo akafikia kwenye point yetu. Akatusalimia akaenda counter kaagiza na yeye bia zake kama za jamaa yangu na kumwambia counter kuwa watalipa wale pale akituonesha sisi.
Baada ya sisi kumaliza yetu tukaomba bill ilipoletwa tukaona bill imekuja mara dufu, nilipooliza tukajibiwa kuwa na pombe zile pale. Mimi nikamwambia sisi hatumfahamu alipe mwenyewe, baada ya hapo jamaa si akaja akatuuliza kwa nini hatutaki kunilipia?
Nikamuuliza tukulipie wewe una tatizo gani? Nae akatuuliza kwani nyinyi hamnifahamu, na Mimi nikamuuliza "sisi unatufahamu?" Nikamwambia ondoka kabla sijakushia dhahama, wakati huo watu wametunguka wakisilizia. Naona kaondoka uku akisema "mtanijua tu"
Juzi nimekutanae barabarani nashangaa kanisalimia bro za ziku?
Nikajifanya sikumsikia.
Kuna pumbavu mwingine alikuja kwenye mgahawa mmoja nilikuwa nimeachiwa pale karibu na Makumbusho. Amemaliza kula akataka kukimbia, mfanyakazi mmoja akamtia pini pale. Akaanza kusema kuna mtu nilikuwa nataka nimcheck hapo pembeni, akaambiwa lipa uende; mara huyo jamaa ndio ana hela ya kulipia. Akataitiwa pale, kidogo kaanza mimi usalama wa taifa... hapo ndio akatuchefua zaidi. Tukamwambie ofisini kwenu sio mbali, twende kwa bosi wako akalipe! Akabaki anatoa macho. Mwisho wake aliacha simu pale, baada ya wiki alikuja kulipa.

Hata kama angekuwa usalama kweli, ujasiri wa kwenda kwa bosi wake na deni la wali nyama alikuwa hana. Shenzi kabisa yule.
 
Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.

View attachment 2182373

Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?

Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
Mbona vijana mnakuwa wapumbavu na wajinga kiasi hiki cha lami? Do we read kweli sheria?
Hivi unajuwa usalama wa Taifa nieneo hatari kurecord au kufanya chochote?
Unajuwa kwakufanya kosa hilo unaweza kupotea natusikuone mpaka kiama pasipo jali wewe ni mtoto wa nani?
Je unajuwa maeno kadhaa ktk jiji la dsm nihatari hata kupak gari nje?
Je unajuwa call zote na watu wanapita nje ya ofisi za usalama wa Taifa zinakuwa intercepted kutoka mbali sana?
Haya utampigia mjomba wako mbunge... Kwa ujinga na upumbavu wako.
 
Back
Top Bottom