BAGAMOYO, PWANI
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, leo tarehe 21 Oktoba 2026, imetekeleza ombi la wananchi wa Bagamoyo, mkoani Pwani, la kuoneshwa mipaka ya maeneo yao yaliyopo katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanzale, wilayani humo.
Akisimamia na kuelekeza utekelezaji wa zoezi...