Kama ni mtu sahihi na mwenye maono sahihi kabisa, mwenye kuhitajika kutokana na wakati kuwaongoza Watanzania kwa sasa, basi mtu huyo si mwingine bali ni Tundu Lissu. CCM, chama ajuza kimepitwa na wakati, na kikapumzike kwa amani.
Sikuwai kuona ubaya wa CCM kwa nchi yetu huko nyuma. Ila ndani ya hii miaka 5. Nimeuona kweli. Sioni tena Tanzania safi na bora inayo compete na nchi nyingine chini ya CCM!
 
Kwa miaka yote mitano Magufuli hakuwahi kukutana na kisiki cha mpingo kama hiki , tuone kama atakula tena mahindi barabarani
Bora hata angekuwaa anayala kistaarabu,anatafuna huku anaongea,mama unataka kupanuliwa wapi mama,huko mbelee...dah
 
SERA ZA LISSU NI KUTAAKA WATU WAANDAMANE TU, HAANA JIPYAA. TUNAMPIGAAA ASUBUHI KABLA JIMBI HAJAWIKA.
 
Hawa watu wa Arusha hawana shukrani, wamesahau kama Profesa Magufuli ameifufua ile reli ya mkoloni iliyokuwa imekufa.

Na juzi kati mshakunaku polepole alikuja kumsifia master wake.
 
Duuuh katema Madini matupu

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kwa miaka yote mitano Magufuli hakuwahi kukutana na kisiki cha mpingo kama hiki , tuone kama atakula tena mahindi barabarani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kashakata Pumzi..
 
amini ama usiamini... hakuna mtu anaweza kuligusa hili na kulirekebisha.... hapa pesa nyingi inatoka na nyingi inaingia... hawezi kuigusa... sanasana itaongelewa majukwaani tu...

But hili la bodi ya mikopo ni tatizo kubwa sana

Mabibi Tito kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…