Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Pamoja nduguTuko wengiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja nduguTuko wengiiiii
Sikuwai kuona ubaya wa CCM kwa nchi yetu huko nyuma. Ila ndani ya hii miaka 5. Nimeuona kweli. Sioni tena Tanzania safi na bora inayo compete na nchi nyingine chini ya CCM!Kama ni mtu sahihi na mwenye maono sahihi kabisa, mwenye kuhitajika kutokana na wakati kuwaongoza Watanzania kwa sasa, basi mtu huyo si mwingine bali ni Tundu Lissu. CCM, chama ajuza kimepitwa na wakati, na kikapumzike kwa amani.
Kabisa yani..Asante. Lissu anahitaji kuungwa mkono. Ameibeba Tanzania ya kipekee sana kichwani pake. Tusipomchagua Lissu na kumweka ikulu mwaka huu 2020. Watanzania tutajuta milele
Haya ni maoni yako Baki nayo tuuuKwa kuwa hashidi inabaki kuwa kelele tu
Sioni kama kuna mtu anayefikiria sawasawa anayeweza kumnyima kura Tundu Lissu!!Kabisa yani..
Bora hata angekuwaa anayala kistaarabu,anatafuna huku anaongea,mama unataka kupanuliwa wapi mama,huko mbelee...dahKwa miaka yote mitano Magufuli hakuwahi kukutana na kisiki cha mpingo kama hiki , tuone kama atakula tena mahindi barabarani
SERA ZA LISSU NI KUTAAKA WATU WAANDAMANE TU, HAANA JIPYAA. TUNAMPIGAAA ASUBUHI KABLA JIMBI HAJAWIKA.Kwa kweli tangu juzi kawe, jana segerea na Leo Arusha Tundu Lissu ameanza kutema sera kali kweli
Zinahusu maisha ya mwananchi mmojammoja na Taifa kiujumla
Uzuri wa sera zake kuna zile ambazo ziko specific kwa mji husika na kuna zile ambazo zinahusu nchi nzima
1. Lissu kazungumzia ugumu wa maisha ya mfanyakazi na jinsi atakavyoyaboresha kwa kulipa malimbikizo yote wanayodai na kuwalipa nyongeza zao za mishahara za kisheria(annual increments)
2. Amezungumzia uonevu wanaofanyiwa wafanyabiashara wetu na kwamba ataundoa
3. Amezungumzia kuhusu elimu bora na siyo bora elimu, amezungumzia kuhusu elimu ya ujuzi wa kazi siyo ya kukariri
4. Amezungumzia kuhusu viwanda na kuvutia mitaji ili kutoa ajira kwa vijana wetu
5. Amzezungumzia kuhusu diplomasia yetu iliyoshuka na jinsi atakavyorudisha mahusiano bora ya kimataifa
6. Amezungumzia bima ya afya kwelikweli siyo hii ambayo wazee wetu wakishastaafu wanaambiwa waongeze hela ili waweze kuwekwa kwenye bima ya magonjwa nyemelezi ya wazee
7. Amezungumzia kuhusu kuirejesha Arusha kuwa kitovu cha utalii
8. Amezungumzia kuhusu katiba mpya, ameonyesha ubovu wa katiba ya sasa ambayo imelinyima hata bunge uwezo wa kuanzisha hoja ya namna ya kutumia pesa za nchi isipokuwa tu kama hoja hiyo imeanzishwa na serikali.
9.Amezungumza kuhusu haki za watu, ametetea masheikh walio jela kinyume cha sheria, kwa mfano amesema Arusha peke yake kuna Masheikh 70 wako jela achilia mbali wale masheikh wa uamsho.
10. Amezungumzia kuvunjia wananchi nyumba kikatili etc
11. Kszungumzia mzigo mzito wa makato ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu na amesema atashusha makato hayo kwa mwezi kutoka 15% hadi 3% ya mshahara kwa mwezi
12. Amezungumzia kuhusu adha za vitambulisho vya kimagumashi vya wamachinga amesema ataondoa mzingo wa shilingi 20000 ya kitambulisho cha wamachinga pesa iliyoanzishwa na Bashite na Magufuli
13. Amesema ataanzisha sheria ya haki ya mlipa kodi "Bill of taxpayers rights" ili waweze kulindwa kisheria badala ya utaratibu wa sasa ambao wafanyabiashara wanaonewa sana na TRA na hawana pa kukimbilia, kila wanapokimbilia wameshafungwa minyororo
14. Amezungumzia kuhusu uhuru wa habari, kuwa ataondoa sheria kandamizi zilizotungwa na Magufuli kumlinda yeye badala ya kusaidia taaluma kukua
15. Amesema ataomesha matumizi ya hovyo ya pesa za serikali, siyo rais akiamka asubuhi anajenga uwanja wa ndege kijijini kwake ambapo ndege inatua mara mbili kwa mwaka siku anayoenda kula Christmass na pasaka
16. Lissu anazungumzia kuhusu UHURU, HAKI, MAENDELEO
Kwa kweli Lissu unatisha baba endelea kupiga spana mwana wa Tanzania
Hawa watu wa Arusha hawana shukrani, wamesahau kama Profesa Magufuli ameifufua ile reli ya mkoloni iliyokuwa imekufa.Kwa kweli tangu juzi kawe, jana segerea na Leo Arusha Tundu Lissu ameanza kutema sera kali kweli

Magufuli anatosha, hizi zingine mbwembwe tu
Duuuh katema Madini matupuKwa kweli tangu juzi kawe, jana segerea na Leo Arusha Tundu Lissu ameanza kutema sera kali kweli

Hawa watu wa Arusha hawana shukrani, wamesahau kama Profesa Magufuli ameifufua ile reli ya mkoloni iliyokuwa imekufa.
Na juzi kati mshakunaku polepole alikuja kumsifia master wake.
Anatosha kufanyaje sasa fafanuaMagufuli anatosha, hizi zingine mbwembwe tu
Noma
Kwanini hashindi?Kwa kuwa hashidi inabaki kuwa kelele tu
Mshalogewa chato nyie..Magufuli anatosha, hizi zingine mbwembwe tu
Kwa kuwa hashidi inabaki kuwa kelele tu
😂😂😂😂😂😂😂Kwa miaka yote mitano Magufuli hakuwahi kukutana na kisiki cha mpingo kama hiki , tuone kama atakula tena mahindi barabarani
amini ama usiamini... hakuna mtu anaweza kuligusa hili na kulirekebisha.... hapa pesa nyingi inatoka na nyingi inaingia... hawezi kuigusa... sanasana itaongelewa majukwaani tu...
But hili la bodi ya mikopo ni tatizo kubwa sana