Sawa beberu mwenzangu, tuendelee kumchangia.
 
Kwa wazoefu wa siasa za Kitanzania tunaweza kusema kuwa watumishi wa umma kabla ya uchaguzi mkuu tarehe 28 October 2020 watakuwa washaongezewa mshahara.

Na kwasasa mamlaka ya kuongeza mshahara anayo Magufuli pekee. Akiongeza binafsi nitamshukuru ila sitampa kura yangu.

Jambo hilo nitalihesabu kama rushwa au dharau.
 
Hako kanyongeza kametolewa fungu gani, ili na sisi huku mwamanyiri tupate kujua.
 
Mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lisu ameahidi kujenga masoko makubwa ya kisasa jijini Mbeya yatakayokuwa yanatoa Huduma saa 24.

Ndio nauliza ujenzi huu tuutafsiri kama ni maendeleo ya Watu au ya Vitu kwa sisi wananchi wa kawaida?

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Masikini mataga kwasasa wanaucheza mziki wa Lissu🤣
 

Attachments

  • tapatalk_1506009045287.jpeg
    36 KB · Views: 1
Lissu haaminiki.

Asipewe kura hata moja
 
Washabi wa chadema waje waseme hapa kwamba hilo liko swa au lah?
Na kama liko sawa basi kuna haja ya kuendelea na magifuli kwa sababu CCM ISHAJEMNGA masoko ya machinga ila mengine walikataa kuingia humo kama dar?
Je yeye atawaingiza kwa nguvu?
Maana machinga anapenda kukaa sehemu anayo ona inafaa yeye kupata wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…