Usiku watauza nini au ni ile biashara ya utamu?
 
Masoko ya usiku au madanguro? Waambie no Kura no lami
 
Usiku watauza nini au ni ile biashara ya utamu?

Mji unaendelea na watu wanafaidika wanapopata huduma wakati wote....

TL hajaweka mkutano na machangudoa zilikuwa hamasa za wamachinga kutobughudhiwa na taratibu au mazoea ya Sasa na kuwahakikishia kuuza biashara zao wakati wote 24hrs...
 
Maendeleo ya watu ni yale yanayomuwezesha mtu kufanya biashara ya moja kwa moja, ndege, reli na flaiova si maendeleo ya mtu moja kwa moja.
Soko ni banda linalokuwezesha kufanya biashara kivulini na sehemu salama.
 
Masoko ya jioni safi sana, hata mimi hilo wazo nilikuwa nalo hasa kwaajili ya matunda na mbogamboga
 
Kwakuwa hamko tayari kufuata maelekezo ya wataalamu wa mipangomiji ili kuboresha na kulinda mazingira mmelitega bomu la wamachinga na litakuja kuwalipukieni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…