MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Mwalimu katoa hoja, wewe sema ina shida gani?Weka ushabiki pembeni hiyo hoja ya mwalimu inamashiko?
Huko moshi ccm wenyewe kwa wenyewe wamemkimbia mgombea ubunge wao. Sasa wanatafuta mchawi Hadi wampate mchawi cdm itakuwa imeshachukua Jimbo. Ccm moshi walizoea kupewa dedham ndipo watoe kura na wafanye kampeni mwaka huu kumekuwa kinyumeWasalaam
Mgombea mwenza wa chadema Ndugu Salum Mwalimu mwenye Phd ya mambo ya usafiri ameendelea kuzunguka huko moshi akikinadi chama na kuendelea kuwashangaza walio wengi kwani baadhi ya matamshi yake yanawachanganya watu na kushindwa kujua upi ni msimamo wa chama?
Salum Mwalimu leo amekaririwa akisema watanzania wote kuanzia watoto na kila rika watapatiwa pass port bure(hati ya kusafiria) lakini hili jambo limefanya wanao msikiliza wajiulize nini msimamo wa chama?
Watu bado wanajiuliza hizo hati za kusafiria watanzania watakwenda nazo wapi na kwakutumia usafiri upi ikiwa chadema na mgombea wao bwana Lissu wanapinga uwepo wa ndege? hizo pass port tutakwenda nazo morogoro? pass port tutakuwa tunazitumia kwenda nazo singida? au tutazitumia kwenda machame?
Bado watu wanajiuliuza tutapanda nazo bajaji au baiskeli ukizingatia chama na mgombea wake wanapinga uwepo wa ndege na kuna uwezekano wakiingia tuu watauza ndge zote? au tutazitumia kufanya nini?
Wasalaam
Mbona unatumia jina la kike , ilo ni jina mama,Crimea mzee badilika ndo Mana hujielewi fresh.Siwezi kukuoa mimi nlishaoa tafadhali
KilazaWasalaam
Mgombea mwenza wa chadema Ndugu Salum Mwalimu mwenye Phd ya mambo ya usafiri ameendelea kuzunguka huko moshi akikinadi chama na kuendelea kuwashangaza walio wengi kwani baadhi ya matamshi yake yanawachanganya watu na kushindwa kujua upi ni msimamo wa chama?
Salum Mwalimu leo amekaririwa akisema watanzania wote kuanzia watoto na kila rika watapatiwa pass port bure(hati ya kusafiria) lakini hili jambo limefanya wanao msikiliza wajiulize nini msimamo wa chama?
Watu bado wanajiuliza hizo hati za kusafiria watanzania watakwenda nazo wapi na kwakutumia usafiri upi ikiwa chadema na mgombea wao bwana Lissu wanapinga uwepo wa ndege? hizo pass port tutakwenda nazo morogoro? pass port tutakuwa tunazitumia kwenda nazo singida? au tutazitumia kwenda machame?
Bado watu wanajiuliuza tutapanda nazo bajaji au baiskeli ukizingatia chama na mgombea wake wanapinga uwepo wa ndege na kuna uwezekano wakiingia tuu watauza ndge zote? au tutazitumia kufanya nini?
Wasalaam
Yaani una akili ndogo hadi huruma. Wewe hujui passport ni haki ya kila raia? Tanzania tu ndio mnafanya passport iwe ngumu kumiliki kwa sababu ya ujima wenu.Wasalaam
Mgombea mwenza wa chadema Ndugu Salum Mwalimu mwenye Phd ya mambo ya usafiri ameendelea kuzunguka huko moshi akikinadi chama na kuendelea kuwashangaza walio wengi kwani baadhi ya matamshi yake yanawachanganya watu na kushindwa kujua upi ni msimamo wa chama?
Salum Mwalimu leo amekaririwa akisema watanzania wote kuanzia watoto na kila rika watapatiwa pass port bure(hati ya kusafiria) lakini hili jambo limefanya wanao msikiliza wajiulize nini msimamo wa chama?
Watu bado wanajiuliza hizo hati za kusafiria watanzania watakwenda nazo wapi na kwakutumia usafiri upi ikiwa chadema na mgombea wao bwana Lissu wanapinga uwepo wa ndege? hizo pass port tutakwenda nazo morogoro? pass port tutakuwa tunazitumia kwenda nazo singida? au tutazitumia kwenda machame?
Bado watu wanajiuliuza tutapanda nazo bajaji au baiskeli ukizingatia chama na mgombea wake wanapinga uwepo wa ndege na kuna uwezekano wakiingia tuu watauza ndge zote? au tutazitumia kufanya nini?
Wasalaam
tanzania una ndege gani inaenda ulaya? inatua kiwanja kipi na hub yake ni ipi? Na je kabla ya mwaka 2015 watu walikuwa hawaendi ulaya? Mbona ndege za kwenda Ulaya ziko nyingi sana, kwa kuanzia ni KQ, QR, EM, BA, KLM,TK nk usikaririWasalaam
Mgombea mwenza wa chadema Ndugu Salum Mwalimu mwenye Phd ya mambo ya usafiri ameendelea kuzunguka huko moshi akikinadi chama na kuendelea kuwashangaza walio wengi kwani baadhi ya matamshi yake yanawachanganya watu na kushindwa kujua upi ni msimamo wa chama?
Salum Mwalimu leo amekaririwa akisema watanzania wote kuanzia watoto na kila rika watapatiwa pass port bure(hati ya kusafiria) lakini hili jambo limefanya wanao msikiliza wajiulize nini msimamo wa chama?
Watu bado wanajiuliza hizo hati za kusafiria watanzania watakwenda nazo wapi na kwakutumia usafiri upi ikiwa chadema na mgombea wao bwana Lissu wanapinga uwepo wa ndege? hizo pass port tutakwenda nazo morogoro? pass port tutakuwa tunazitumia kwenda nazo singida? au tutazitumia kwenda machame?
Bado watu wanajiuliuza tutapanda nazo bajaji au baiskeli ukizingatia chama na mgombea wake wanapinga uwepo wa ndege na kuna uwezekano wakiingia tuu watauza ndge zote? au tutazitumia kufanya nini?
Wasalaam
Duh...!!! Yaani hati ya kusafiria nayo imekuwa ishu..!!!Wasalaam

Wewe unavyoona CCM walifanya makosa au uonevu kuwafungia hizo media?CCM ni kiboko aisee.,nyoosha sijui wasafi/wachafu haina muda.
Naona wako sawa kwa 100% na inatakiwa zibaki Uhuru fm na TBC tu.Wewe unavyoona CCM walifanya makosa au uonevu kuwafungia hizo media?
Na hz bakora zinazoendelea kutembezwa ni balaaWatu watakufa kwa pressureView attachment 1571517
Kama akina Babu Seya walisamehewa sembuse wanaotuhumiwa kwa kufoji vyeti. Hata Makonda anatuhumiwa kufoji vyeti.Comrade hoja yako ni ipi hapa?
Msamaha gani mlitaka mpewe? Kiuhalisia mlitakiwa mshitakiwe mfungwe mkanyee debe. Kama hujui forgery ni kosa la jinai.Kama akina Babu Seya walisamehewa sembuse wanaotuhumiwa kwa kufoji vyeti. Hata Makonda anatuhumiwa kufoji vyeti.