Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Weka ushabiki pembeni hiyo hoja ya mwalimu inamashiko?
Mwalimu katoa hoja, wewe sema ina shida gani?

Passport ni haki na Mtanzania, ni kitu muhimu kuwa nacho. Nilishangaa siku naenda kuomba passport, naambiwa jaza unaenda wapi!!! As if passport ni kwa ajili ya watu wenye safari tu.

Kuhusu ndege, kwani kabla ya "kufufua" ATCL watu walikuwa hawasafiri?
 
huko mataga kumejaa empty heads.

hivi kuambiwa kila mtu anayehitaji passport apewe bure bila urasimu unaofanywa na uhamiaji imekua ni nongwa???

By the way bado tunasubiri majibu yenu juu ya Chato International Airport inayojengwa na mme mwenza baada ya mabillion ya pesa kusainiwa na mtoto wa dada na CAG haruhusiwi kukagua.
 
Wasalaam
Mgombea mwenza wa chadema Ndugu Salum Mwalimu mwenye Phd ya mambo ya usafiri ameendelea kuzunguka huko moshi akikinadi chama na kuendelea kuwashangaza walio wengi kwani baadhi ya matamshi yake yanawachanganya watu na kushindwa kujua upi ni msimamo wa chama?
Salum Mwalimu leo amekaririwa akisema watanzania wote kuanzia watoto na kila rika watapatiwa pass port bure(hati ya kusafiria) lakini hili jambo limefanya wanao msikiliza wajiulize nini msimamo wa chama?
Watu bado wanajiuliza hizo hati za kusafiria watanzania watakwenda nazo wapi na kwakutumia usafiri upi ikiwa chadema na mgombea wao bwana Lissu wanapinga uwepo wa ndege? hizo pass port tutakwenda nazo morogoro? pass port tutakuwa tunazitumia kwenda nazo singida? au tutazitumia kwenda machame?

Bado watu wanajiuliuza tutapanda nazo bajaji au baiskeli ukizingatia chama na mgombea wake wanapinga uwepo wa ndege na kuna uwezekano wakiingia tuu watauza ndge zote? au tutazitumia kufanya nini?

Wasalaam
Huko moshi ccm wenyewe kwa wenyewe wamemkimbia mgombea ubunge wao. Sasa wanatafuta mchawi Hadi wampate mchawi cdm itakuwa imeshachukua Jimbo. Ccm moshi walizoea kupewa dedham ndipo watoe kura na wafanye kampeni mwaka huu kumekuwa kinyume
 
Mleta mada naona umekurupuka sana. Salum Mwalimu alichokisema ni hiki...
-Hati ya kusafiria itatolewa haraka (ndani ya siku 21) kwa mtanzania yoyote mwenye uhitaji wa kusafiri nje ya nchi, katika mikoa yote hapa Tanzania na sio lazima mhusika afike Dar nk.
 
Attachments

  • IMG-20200914-WA0013.jpg
    IMG-20200914-WA0013.jpg
    62 KB · Views: 1
  • IMG-20200914-WA0014.jpg
    IMG-20200914-WA0014.jpg
    46.8 KB · Views: 1
Wasalaam
Mgombea mwenza wa chadema Ndugu Salum Mwalimu mwenye Phd ya mambo ya usafiri ameendelea kuzunguka huko moshi akikinadi chama na kuendelea kuwashangaza walio wengi kwani baadhi ya matamshi yake yanawachanganya watu na kushindwa kujua upi ni msimamo wa chama?
Salum Mwalimu leo amekaririwa akisema watanzania wote kuanzia watoto na kila rika watapatiwa pass port bure(hati ya kusafiria) lakini hili jambo limefanya wanao msikiliza wajiulize nini msimamo wa chama?
Watu bado wanajiuliza hizo hati za kusafiria watanzania watakwenda nazo wapi na kwakutumia usafiri upi ikiwa chadema na mgombea wao bwana Lissu wanapinga uwepo wa ndege? hizo pass port tutakwenda nazo morogoro? pass port tutakuwa tunazitumia kwenda nazo singida? au tutazitumia kwenda machame?

Bado watu wanajiuliuza tutapanda nazo bajaji au baiskeli ukizingatia chama na mgombea wake wanapinga uwepo wa ndege na kuna uwezekano wakiingia tuu watauza ndge zote? au tutazitumia kufanya nini?

Wasalaam
Kilaza
 
Yaani una akili ndogo hadi huruma. Wewe hujui passport ni haki ya kila raia? Tanzania tu ndio mnafanya passport iwe ngumu kumiliki kwa sababu ya ujima wenu.
 
Wasalaam
Mgombea mwenza wa chadema Ndugu Salum Mwalimu mwenye Phd ya mambo ya usafiri ameendelea kuzunguka huko moshi akikinadi chama na kuendelea kuwashangaza walio wengi kwani baadhi ya matamshi yake yanawachanganya watu na kushindwa kujua upi ni msimamo wa chama?
Salum Mwalimu leo amekaririwa akisema watanzania wote kuanzia watoto na kila rika watapatiwa pass port bure(hati ya kusafiria) lakini hili jambo limefanya wanao msikiliza wajiulize nini msimamo wa chama?
Watu bado wanajiuliza hizo hati za kusafiria watanzania watakwenda nazo wapi na kwakutumia usafiri upi ikiwa chadema na mgombea wao bwana Lissu wanapinga uwepo wa ndege? hizo pass port tutakwenda nazo morogoro? pass port tutakuwa tunazitumia kwenda nazo singida? au tutazitumia kwenda machame?

Bado watu wanajiuliuza tutapanda nazo bajaji au baiskeli ukizingatia chama na mgombea wake wanapinga uwepo wa ndege na kuna uwezekano wakiingia tuu watauza ndge zote? au tutazitumia kufanya nini?

Wasalaam
tanzania una ndege gani inaenda ulaya? inatua kiwanja kipi na hub yake ni ipi? Na je kabla ya mwaka 2015 watu walikuwa hawaendi ulaya? Mbona ndege za kwenda Ulaya ziko nyingi sana, kwa kuanzia ni KQ, QR, EM, BA, KLM,TK nk usikariri
 
Wasalaam
Mgombea mwenza wa chadema Ndugu Salum Mwalimu mwenye Phd ya mambo ya usafiri ameendelea kuzunguka huko moshi akikinadi chama na kuendelea kuwashangaza walio wengi kwani baadhi ya matamshi yake yanawachanganya watu na kushindwa kujua upi ni msimamo wa chama?
Salum Mwalimu leo amekaririwa akisema watanzania wote kuanzia watoto na kila rika watapatiwa pass port bure(hati ya kusafiria) lakini hili jambo limefanya wanao msikiliza wajiulize nini msimamo wa chama?
Watu bado wanajiuliza hizo hati za kusafiria watanzania watakwenda nazo wapi na kwakutumia usafiri upi ikiwa chadema na mgombea wao bwana Lissu wanapinga uwepo wa ndege? hizo pass port tutakwenda nazo morogoro? pass port tutakuwa tunazitumia kwenda nazo singida? au tutazitumia kwenda machame?

Bado watu wanajiuliuza tutapanda nazo bajaji au baiskeli ukizingatia chama na mgombea wake wanapinga uwepo wa ndege na kuna uwezekano wakiingia tuu watauza ndge zote? au tutazitumia kufanya nini?

Wasalaam
Duh...!!! Yaani hati ya kusafiria nayo imekuwa ishu..!!!
 
Wanataka serikali ya majimbo kwa hiyo tutakuwa tunaenda nazo kwenye majimbo na bajaji. Yaani ni Saccos ta wajinga fulani na vilaza inadanganya
 
Hongera sana Lissu kwa hotuba moto moto zilizojaa sera nzuri kwa watanzania. Umewafungua wengi macho na umewaondolea watu woga uliotanda kwa miaka 5. Tafadhali ile hoja kuu ya CDM kuhusu ufisadi ihuishwe wakati huu kwani tumeshuhudia ufisadi mkubwa mno kipindi hiki. Ufisadi huu unafanywa kijanja kupitia miradi mikubwa mikubwa. Hoja hii ina mvuto mkubwa kwa watanzania hasa wakati huu ambapo tumeshuhudia mambo mengi yakifanywa hovyo hovyo na bila vyombo muhimu kama Bunge kuhusishwa. Lissu paaza sauti zaidi na endelea kuwaambia ukweli wahusika bila kupepesa macho nasi tupo nyuma yako.
 
Kama akina Babu Seya walisamehewa sembuse wanaotuhumiwa kwa kufoji vyeti. Hata Makonda anatuhumiwa kufoji vyeti.
Msamaha gani mlitaka mpewe? Kiuhalisia mlitakiwa mshitakiwe mfungwe mkanyee debe. Kama hujui forgery ni kosa la jinai.

Kitendo cha Rais kuwafukuza kazi bila kuwachukulia hatua za kisheria ni hisani tosha.
 
Back
Top Bottom