MBONA MIKATABA YA MADINI ILIPELEKWA BUNGENI MBUNGE WAKO AKATOKA INJE HUKU AKIIIMBA ULE WIMBO WA MALIMU SEIFU. MIKATABA YOTE BUNGENI INALETWA NYOE MNAKIMBILIA KWENYE MAIKI ZA YOU TUBE
 


eti ametetea nn? nkikumbuka zile makinikia, corona! sina ata ham ya kumskia, nashangaa watu wasiojulikana kwann walienda tafaut na maelezo, najua safari hii baada ya uchaguzi hawatakosea tena
 
Angalia hii picha ndio utajua ccm na chadema wapi na wapi
 
Kwa kweli huu utawala umeua kabisa sekta ya ukandarasi baada ya serikali kuamua kujiingiza katika ukandarasi hasa wa majengo.

Serikali imekuwa Contractor and at the same time Consultant and Client vile vile. Makandarasi wamebaki kufanya shughuli za Civil Works ambazo hata hivyo hazina tena faida.

Gharama za kukodi mitambo ziko juu mno na makandarasi wengi hawamiliki mitambo na serikali pia hailipi kwa wakati, kazi zilizofanyika mwaka wa fedha uliyoisha hawajalipwa hadi mwakani na kisingizio ni kuwa fedha zote zimeenda kwenye uchaguzi..!!

Hali ya biashara kwa ujumla katika nchi hii ni mbaya sana, huo ndio ukweli mchungu.
 
Aliyekunyima akili alikuweza! halafu inaelekea ktk ukoo wenu mna laana za wivu, mmejaaliwa roho za kwanini na umaskini wa mawazo.
 
MBONA MIKATABA YA MADINI ILIPELEKWA BUNGENI MBUNGE WAKO AKATOKA INJE HUKU AKIIIMBA ULE WIMBO WA MALIMU SEIFU. MIKATABA YOTE BUNGENI INALETWA NYOE MNAKIMBILIA KWENYE MAIKI ZA YOU TUBE
UMEANDIKA LOVING STORY TU AU HATI YA DHARURA, UPINZANI ULITOKA NJE UKIPINGA RASLIMALI ZA NCHI KILA AWAMU INALETWA KWA DHARURA, DHARURA MAANA YAKE NN????
 
Katika kampeni za uchaguzi za nwaka 2015 mgombea wa CCM alijinadi sana kwa sera ya viwanda. Kwamba Tanzania ya Magufuli itakuwa ni Tanzania ya viwanda ba hii litaongeza ajira kwa watu wetu.

Ni miaka mitano sasa imepita si Magufuli wala upinzani wanaozungumzia kufanikiwa au kufeli kwa hii sera. Hiki ni kitu kilipigiwa kelele sana kiasi kwamba karibu kila mwananchi leo anakumbuka hii ahadi. Kila mkoa aliopita huyu mgombea wa CCM aliinadi kwa nguvu sera hii.

Upinzani hamjacapitalize kwenye huu udhaifu wa serikali ya CCM iliouonesha kwa miaka mitano iliyopita.

Pia sijawasikia mkipiga spana sawasawa kwenye ishu ya ubaguzi wa kimaendeleo anayozingumza mgombea wa CCM kila anapokuwa kwenye jimbo la upinzani.

Kauli kwamba asipochaguliwa mbunge au diwani wa CCM hatapeleka miradi ya maendeleo kwenye jimbo husika zinakinzana na Kauli kama "maendeleo hayana chama", na "nitawatumikia watanzania wote bila kujali dini zenu, makabila yenu, vyama vyenu na rangi zenu" ambazo zimekuwa zinatolewa mara kwa mara na mgombea wa CCM. Ni ubaguzi mbaya kabisa ambao Nyerere aliukemea sana.
 
Ndio huyu mtu anaudhaifu mkubwa sana na anatoa maboko mengi lakini naona kama CHADEMA wanamwonea huruma au sijui vipi! Piga spana!!
 
... viwanda viliyotapakaa nchi nzima hadi kuiweka Tanzania among the countries with least unemployment rates, ikitanguliwa na Sweden, Finland, Norway, Denmark, na Japan tu; Chadema watakuwa vichaa kuhoji mambo yaliyo wazi.
 
N Napendekeza hizo hoja zisemewe vizuri na timu za kampeni za CDM,ongezeeni ile ya milioni 50 kila Kijiji/Mtaa ambayo pia nilikuwa ahadi hewa.
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lissu kuelezea sera za CHADEMA ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…