Wananchi walio wengi wana kuunga mkono, wamebaki wachache sana ambao bila shaka ni wanufaika wa utawala huu wa awamu ya tano.
Kaba hivyo hivyo, kamatia hapo hapo lazima nchi irudi mikononi kwa watanzania halisi ambao wana utu, upendo na wenye kujali maendeleo ya watu kuliko ma 'stegilazi'.
Hivyo kazia mambo haya kwenye kampeni zako:
- Katiba Mpya(Ya Warioba)
- Suala la mikopo.
- Fao la kujitoa.
- Kuendesha nchi kimajimbo
- Mengine kuhusu ufisadi kama huu wa kampuni moja ambayo inashinda kila Zabuni.
Umeeleweka, sasa wahitaji kuwavuta wananchi zaidi wa kuongeza kura. Una kura za waandishi wa habari, wakulima, wafanyakazi na wastaafu, wanafunzi wa vyuo nk.