Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
WEWE NDIO MPOTOSHAJI..UNATAKA KUPOTOSHA UKWEL WA HABAR YA BBC- Ukitaka kupruvu kuwa bbc ni waongo Simple wambie xxm wapeleke mikataba na sheria zote bungen kwa wananch wazione, kwasababu sheria iliyopitishwa kwa zarura juz inataka mikataba na sheria za raslimal ziletwe bungen.&&&&&&&& alaf miswaada yote isiyohusu raslimal hupelekwa bungen bila hati ya dharua kwann miswaada inayohusu raslimali za nch ni dharura tu ???kuanzia awam 3,4 na ya 5 kwann jaman???tunakuwa tunaharaka tumechelewa?au tunafunika kombe mwanaharam apite? yaan sielewi
MBONA MIKATABA YA MADINI ILIPELEKWA BUNGENI MBUNGE WAKO AKATOKA INJE HUKU AKIIIMBA ULE WIMBO WA MALIMU SEIFU. MIKATABA YOTE BUNGENI INALETWA NYOE MNAKIMBILIA KWENYE MAIKI ZA YOU TUBE
 
Hoja yako ni ya kijinga sana. Lissu amekuwa maarufu hata kabla ya kupigwa risasi.
LISSU ameshambuliwa kwa risasi kutokana na threat aliyo nayo kwa watawala. Maana alikuwa anatetea nchi na kupinga udikteta wakati wote.
LISSU amethibitisha kwa vitendo tangu akiwa bungeni akitetea UHURU, HAKI, NA MAENDELEO YA WATU

eti ametetea nn? nkikumbuka zile makinikia, corona! sina ata ham ya kumskia, nashangaa watu wasiojulikana kwann walienda tafaut na maelezo, najua safari hii baada ya uchaguzi hawatakosea tena
 
Wananchi walio wengi wana kuunga mkono, wamebaki wachache sana ambao bila shaka ni wanufaika wa utawala huu wa awamu ya tano.
Kaba hivyo hivyo, kamatia hapo hapo lazima nchi irudi mikononi kwa watanzania halisi ambao wana utu, upendo na wenye kujali maendeleo ya watu kuliko ma 'stegilazi'.

Hivyo kazia mambo haya kwenye kampeni zako:

- Katiba Mpya(Ya Warioba)
- Suala la mikopo.
- Fao la kujitoa.
- Kuendesha nchi kimajimbo
- Mengine kuhusu ufisadi kama huu wa kampuni moja ambayo inashinda kila Zabuni.

Umeeleweka, sasa wahitaji kuwavuta wananchi zaidi wa kuongeza kura. Una kura za waandishi wa habari, wakulima, wafanyakazi na wastaafu, wanafunzi wa vyuo nk.
Angalia hii picha ndio utajua ccm na chadema wapi na wapi
IMG-20200921-WA0013.jpg
 
Kwa kweli huu utawala umeua kabisa sekta ya ukandarasi baada ya serikali kuamua kujiingiza katika ukandarasi hasa wa majengo.

Serikali imekuwa Contractor and at the same time Consultant and Client vile vile. Makandarasi wamebaki kufanya shughuli za Civil Works ambazo hata hivyo hazina tena faida.

Gharama za kukodi mitambo ziko juu mno na makandarasi wengi hawamiliki mitambo na serikali pia hailipi kwa wakati, kazi zilizofanyika mwaka wa fedha uliyoisha hawajalipwa hadi mwakani na kisingizio ni kuwa fedha zote zimeenda kwenye uchaguzi..!!

Hali ya biashara kwa ujumla katika nchi hii ni mbaya sana, huo ndio ukweli mchungu.
 
Hatuko tayari kuruhusu madiri yarudi tena. Hatuko tayari kuona makandarasi makanjanja wanapewa tenda kubwa halafu zinaishia njia na hela wamepiga. Hatuko tayari kuona wake wa maofisa wa serikali wanafungua steshionary feki na kuuzia karam moja tsh 5000.

Hatuko tayari kuona tena wake wawakubwa ndio wasambaza chai ya rangi kwenye maofisi ya uma huku wakiuza kikombe chai ya rangi tsh 5000 na kitumbua cha mia moja wao wanauza tsh 2000.

Hatuko tayari kuona utapeli wakula fedha bila mipangilio unarudia tena. Big up Magufuli, God bless you.
Aliyekunyima akili alikuweza! halafu inaelekea ktk ukoo wenu mna laana za wivu, mmejaaliwa roho za kwanini na umaskini wa mawazo.
 
MBONA MIKATABA YA MADINI ILIPELEKWA BUNGENI MBUNGE WAKO AKATOKA INJE HUKU AKIIIMBA ULE WIMBO WA MALIMU SEIFU. MIKATABA YOTE BUNGENI INALETWA NYOE MNAKIMBILIA KWENYE MAIKI ZA YOU TUBE
UMEANDIKA LOVING STORY TU AU HATI YA DHARURA, UPINZANI ULITOKA NJE UKIPINGA RASLIMALI ZA NCHI KILA AWAMU INALETWA KWA DHARURA, DHARURA MAANA YAKE NN????
 
Katika kampeni za uchaguzi za nwaka 2015 mgombea wa CCM alijinadi sana kwa sera ya viwanda. Kwamba Tanzania ya Magufuli itakuwa ni Tanzania ya viwanda ba hii litaongeza ajira kwa watu wetu.

Ni miaka mitano sasa imepita si Magufuli wala upinzani wanaozungumzia kufanikiwa au kufeli kwa hii sera. Hiki ni kitu kilipigiwa kelele sana kiasi kwamba karibu kila mwananchi leo anakumbuka hii ahadi. Kila mkoa aliopita huyu mgombea wa CCM aliinadi kwa nguvu sera hii.

Upinzani hamjacapitalize kwenye huu udhaifu wa serikali ya CCM iliouonesha kwa miaka mitano iliyopita.

Pia sijawasikia mkipiga spana sawasawa kwenye ishu ya ubaguzi wa kimaendeleo anayozingumza mgombea wa CCM kila anapokuwa kwenye jimbo la upinzani.

Kauli kwamba asipochaguliwa mbunge au diwani wa CCM hatapeleka miradi ya maendeleo kwenye jimbo husika zinakinzana na Kauli kama "maendeleo hayana chama", na "nitawatumikia watanzania wote bila kujali dini zenu, makabila yenu, vyama vyenu na rangi zenu" ambazo zimekuwa zinatolewa mara kwa mara na mgombea wa CCM. Ni ubaguzi mbaya kabisa ambao Nyerere aliukemea sana.
 
Ndio huyu mtu anaudhaifu mkubwa sana na anatoa maboko mengi lakini naona kama CHADEMA wanamwonea huruma au sijui vipi! Piga spana!!
 
... viwanda viliyotapakaa nchi nzima hadi kuiweka Tanzania among the countries with least unemployment rates, ikitanguliwa na Sweden, Finland, Norway, Denmark, na Japan tu; Chadema watakuwa vichaa kuhoji mambo yaliyo wazi.
 
N
Katika kampeni za uchaguzi za nwaka 2015 mgombea wa CCM alijinadi sana kwa sera ya viwanda. Kwamba Tanzania ya Magufuli itakuwa ni Tanzania ya viwanda ba hii litaongeza ajira kwa watu wetu.

Ni miaka mitano sasa imepita si Magufuli wala upinzani wanaozungumzia kufanikiwa au kufeli kwa hii sera. Hiki ni kitu kilipigiwa kelele sana kiasi kwamba karibu kila mwananchi leo anakumbuka hii ahadi. Kila mkoa aliopita huyu mgombea wa CCM aliinadi kwa nguvu sera hii.

Upinzani hamjacapitalize kwenye huu udhaifu wa serikali ya CCM iliouonesha kwa miaka mitano iliyopita.

Pia sijawasikia mkipiga spana sawasawa kwenye ishu ya ubaguzi wa kimaendeleo anayozingumza mgombea wa CCM kila anapokuwa kwenye jimbo la upinzani.

Kauli kwamba asipochaguliwa mbunge au diwani wa CCM hatapeleka miradi ya maendeleo kwenye jimbo husika zinakinzana na Kauli kama "maendeleo hayana chama", na "nitawatumikia watanzania wote bila kujali dini zenu, makabila yenu, vyama vyenu na rangi zenu" ambazo zimekuwa zinatolewa mara kwa mara na mgombea wa CCM. Ni ubaguzi mbaya kabisa ambao Nyerere aliukemea sana.
Napendekeza hizo hoja zisemewe vizuri na timu za kampeni za CDM,ongezeeni ile ya milioni 50 kila Kijiji/Mtaa ambayo pia nilikuwa ahadi hewa.
 
Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja

Uwezo mdogo wa Lissu kuelezea sera za CHADEMA ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu

Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za CHADEMA
 
Back
Top Bottom