Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Walivyobanwa, hawana hoja wamebaki tu ametumwa na mabeberu mabeberu. Kiuhakika wameshikwa vibaya sana,Jibuni hoja musije na ngonjera naona sikuhizi hamumuiti tena nabii
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Safi sana kwani waliokuwa wanawafanyia hivyo wamachinga ni watu tofauti na ccm, ? Kwa nini hivyo kitambulisho visitolewe bure ? Tatizo watu kulazimishwa na kuitungia sheriaNajikita kwenye hoja ya VITAMBULISHO
Ngoja nijikite kwenye "UONGO" na UZUSHI wa kwanza juu ya vitambulisho vya wajasiriamali. Ni hivi - ni vizuri watu msiwe wasahaurifu wa mambo yaliyokuwa yakitukuta sisi wajasiriamali. Ni nani asiyejua adha, manyanyaso na usumbufu tuliokuwa tukipewa na mgambo na viongozi mbalimbali katika sehemu zetu za kazi kama huko kwenye masoko, kwenye site mbalimbali au huko mabarabarani tulikokuwa tukipanga vitu, bidhaa au biashara zetu. Kweli mmeshasau mateso hayo ya kuporwa au kumwagiwa bidhaa zetu na hata wakati mwingine kukamatwa na kupelekwa mbele ya PILATO na kuhukumiwa faini za ajabu ajabu ajabu na hata VIFUNGO? Kweli mmesahau kiasi ambacho mnasimama na kusikiliza UONGO NA UZUSHI wa Lissu eti VITAMBULISHO VYETU hivi ni sawa na KODI YA KICHWA? Uongo gani huu?
Haya hilo moja. Je mmesahau USHURU tuliokuwa tukitozwa huko sokoni au barabarani au kwenye vibanda vyetu humu mitaani kwetu? Je mmesahau ule USHURU wa shilingi 500/= hadi 1000/= au 1500/= kwa siku moja kwa kupanga na kuuza vifungu vichache vya nyanya au vitumbua au vitunguu au USHURU wa kiasi hicho kwa kutembeza suruali 5 au 10 za mitumba au kwa viguo 10 vya watoto, MMESAHAU au mnadanganywa na kupotoshwa kwa UONGO na UZUSHI huu wa Lissu!?
Ngoja nimalize kwa kuwapa hesabu ndogo tu ili kuonyesha unafuu wa hizo shilingi 20000/= kwetu sisi wajasiriamali. Shilingi 20000/= ni tozo KWA SIKU 365 AU MWAKA MMOJA! Maana yake ni kwamba tunahitajika kulipa USHURU wa SHILINGI 54/= yaani shilingi HAMSINI NA NNE kwa siku badala ya zile shilingi 500/= au 1000/= au 1500/=. Ni unafuu ulioje! Halafu anaibuka mtu mmoja asiyejua na kufahamu UKWELI kwa vile alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu kiasi cha kusikiliza kila UPOTOFU aambiawo na wapambe wake. Jamani shilingi 54/= kwa siku ndiyo KODI YA KICHWA YA LISSU. Hii ni AJABU NA KWELI. Twende na uongo huu wa kwanza hayo MAUONGO mengine yatafuata au siyo!?
Na wewe unataka utuaminishe kuwa waajiriwa wote ni wa CCM? UONGO mwingine huu! Yaani unasema waajiriwa wa serikali kama hao MIGAMBO kweli CHADEMA hawamo kwenye hizo Payroll, kweli au ni mwendelezo ule ule wa UONGO na UZUSHI usio kifani, mnaoiga kwa Lissu!? Kuna msemo wa Kiswahili usemao " Aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi". Hatuoni taabu kuchangia kidogo kwa maendeleo yetu.Safi sana kwani waliokuwa wanawafanyia hivyo wamachinga ni watu tofauti na ccm, ? Kwa nini hivyo kitambulisho visitolewe bure ? Tatizo watu kulazimishwa na kuitungia sheria
Yule mgombea ubunge kule singida ndiyo hoja yake eti wapinzani wataiuza nchi kwa mabeberuCCM wajikite kujibu hoja. Hoja yao ya mabeberu imeshapatiwa majibu sasa naona imepoteza maana kwa jamii
Hoja hiyo ya Lissu na wenzake wakishinikizwa na akina AMSTERDAM ya kutaka kuuza nchi yetu na utajiri wetu kwa mabeberu INGALI PALE PALE. Hii ni kwa sababu Lissu amekuwa akitayarishwa na hao mabeberu kwa miaka mingi tangu akiwa kiongozi kwenye NGO moja iitwayo LEAT yaani Lawyers Environment Association of Tanzania. Lissu amekuwa akitayarishwa kwa miaka mingi na nadhani hata hiyo mipango ya hizo risasi 16 za ndege alizopigwa ni MUENDELEZO huo kwa nia na lengo OVU la kumuibua SASA, wakidhani Watanzania tumelala. Tunajua mengi hivyo watu msije na vioja humu vya ajabu ajabu kama hamjui ukweli. Msichokoze simba aliyelala jamani!Yule mgomea ubunge kule singida ndiyo hoja yake eti wapinzani wataiuza nchi kwa mabeberu
A m not of your calibre, you can brainwash othersHoja hiyo ya Lissu na wenzake wakishinikizwa na akina AMSTERDAM ya kutaka kuuza nchi yetu na utajiri wetu kwa mabeberu INGALI PALE PALE. Hii ni kwa sababu Lissu amekuwa akitayarishwa na hao mabeberu kwa miaka mingi tangu akiwa kiongozi kwenye NGO moja iitwayo LEAT yaani Lawyers Environment Association of Tanzania. Lissu amekuwa akitayarishwa kwa miaka mingi na nadhani hata hiyo mipango ya hizo risasi 16 za ndege alizopigwa ni MUENDELEZO huo kwa nia na lengo OVU la kumuibua SASA, wakidhani Watanzania tumelala. Tunajua mengi hivyo watu msije na vioja humu vya ajabu ajabu kama hamjui ukweli. Msichokoze simba aliyelala jamani!
Lete hoja Benny Haraba siyo kuanza ku - judge watu humu JF. Ni watu wachache sana wanafahamika humu JF, hao ndio unaweza kujipima nao au kwao lakini siyo kwa wale usiowajua ndugu. Humu JF ni kama Newyork - the Boiling Pot.A m not of your calibre, you can brainwash others
Hoja za mabeberu zilikuwa za kudanganyia wananchi wakati wa kupamaba na ukoloni. Kwa sasa hazilipiCCM wajikite kujibu hoja. Hoja yao ya mabeberu imeshapatiwa majibu sasa naona imepoteza maana kwa jamii
Ebo huyu vipi? Unasema kwa sasa mabeberu hawapo? Huu sasa aidha ni ushabiki uliopitiliza au kutokujua mambo - nasita kusema huu ni ujinga - kwani sasa hivi mtaibuka na kusema nimetukana. Hapana ujinga siyo TUSI bali UPUMBAVU ndiyo tusi! Mbeberu wapo, tena wapo LIVE na matendo yao, mazao yao na matunda yao tunayaona in the forms of Lissu.Hoja za mabeberu zilikuwa za kudanganyia wananchi wakati wa kupamaba na ukoloni. Kwa sasa hazilipi
Kwa ID zile za kwanza walipewa ma - RC. Hao ndio walijua namna ya kurudisha hizo pesa huko Serikalini LAKINI vingine vyote baada ya hapo, ni kwa CONTROL NUMBER kwa kwenda mbele, ambazo zinapatikana kwenye ofisi zote za Serikali za Mitaa!Malipo ya serikali siku hizi yanalipwa kwa control number vipi Vitambulisho vya Mjasiriamali vililipiwa kwa style Hiyo au walikuwa wanakusanya tu hela