Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adhulumiwe nini? , huwezi shinda urais bila kuweka base kweny mashina, yaani vijijini huko, zunguka vijijini uone namna watu wengi walivyo kuwa CCM, vyama vya upidhani wanadhani mitandao,vijana mijini tena wale oya oya ndo base ya ushindi, bila kuwekeza kufungua matawi ya chama kila kijiji na mpaka vitongoji wasahauNothing lasts longer , Lissu akidhulumiwa hakutakuwa na mswalie mtume
😆😆😆😆Lissu ana mikashfa kibao au umesahau alijipiga risasi 16 kule Dodoma.Lissu huyu au mwingine ana kashfa kubwa ya utoro bungeni.
ukifahamu sababu ya ccm kujipa ushindi wa serikali za mitaa bila uchaguzi , huu uchafu wako utaufuta na utakimbia kwa aibu , chama kinachoungwa mkono vijijini kinaogopaje uchaguzi wa vijiji ?adhulumiwe nini? , huwezi shinda urais bila kuweka base kweny mashina, yaani vijijini huko, zunguka vijijini uone namna watu wengi walivyo kuwa CCM, vyama vya upidhani wanadhani mitandao,vijana mijini tena wale oya oya ndo base ya ushindi, bila kuwekeza kufungua matawi ya chama kila kijiji na mpaka vitongoji wasahau
Yaan inchi wachukue chadema?!!! ,bandali,TRA watafanya shamba la bibi, full kupiga, wabunge wao nguli, Sungu, sjui unampa wizara gani?; Mde,Lema, haki ya nani inchi wanauziwa wazungu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Huna hojaUshoga sio kashfa?
una uwezo duni sana !Yaan inchi wachukue chadema?!!! ,bandali,TRA watafanya shamba la bibi, full kupiga, wabunge wao nguli, Sungu, sjui unampa wizara gani?; Mde,Lema, haki ya nani inchi wanauziwa wazungu
aliwahi kukushoga?Ushoga sio kashfa?
Maendeleo ya watu mtayapata vipi bila kuwa na vitu mmetiwa chaka!Mimi binafsi nitamchagua Tundu Lissu maana anagusa maisha yangu moja kwa moja kwa kusisitiza maendelea ya watu na sio vitu..
Miaka 60 ya Uhuru tunajisifia barabara? Na madaraja?
Miaka 60 ya Uhuru tunajisifia kujenga shule na zahanati tulikuwa wapi siku zote wakati watawala ni wale wale?
Miaka 60 CCM wanajisifia kupeleka umeme vijijini tulikuwa wapi miaka yote ?
Huu ni udhaifu wa CCM na Serikali yake miaka yote walikuwa wapi?.
Maji, Umeme, barabara sio masuala ya kutuletea hapa Kama mapya kwani kila siku tutajenga na tutaendelea kujenga kwa sababu tunalipa Kodi kwa kazi hizo.
Tunataka sera mpya zinazogusa maendeleo ya watu na sio vitu.
Lissu kaja na Dawa yake Bima ya afya kwa kila mtanzania
Kuifumua TRA ambayo Ni joka la mdimu kwa Taifa ili
Kuzifumua mifuko za hifadhi za jamii
Kutowakopa wakulima mazao yao
Mimi Ni Nani staki mabadiriko haya kwenye haya maisha mafupi kiasi hiki?
Labda mpumbabu tu ndiye atakataa hizi hoja na sera za Lissu.
Alipo kuwa ubelgiji nasikia ni sifa yake kuu.aliwahi kukushoga?
MUNGU wetu ni mwema kumponyaNimejaribu kupekua mafaili yote ya wizi na ufisadi ndani ya Nchi hii yaliyojaa kila ofisi lakini sikufanikiwa kuona andiko hata liliofutika linaloeleza kashfa ya Mgombea Urais wa Chadema ambaye pia ni Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu.
Huyu mtu ni msafi kama theluji , hajawahi kudokoa , kudhulumu chochote popote , hajawahi kudhulumu nyumba ya Serikali wala ya mtu yeyote , hajawahi kuiba mtumbwi wa mtu, hajawahi kudhulumu boti ya uvuvi pale feri wala hajawahi kuiba Meli yoyote , ni mtu asiye na makandokando yoyote .
Tunaamini kwamba ameletwa na Mungu Mwenyewe kuja kuleta Uhuru kamili ndani ya nchi hii na amekuja kuleta furaha iliyotoweka kwa zaidi ya miaka mitano
View attachment 1558038
Ukifuatilia sera yake ya Elimu utagundua kwamba ameletwa maalum kuboresha elimu ya nchi hii ambayo mara zote imeshindwa kumkomboa mwanafunzi
View attachment 1558041
Wananchi wote wamemkubali na wameapa kumpa kura zao ili awaondolee dhiki kwa kuleta maendeleo ya kweli ya watu wa nchi hii
View attachment 1558044
Njia pekee ya kumdhibiti mtu huyu kutwaa Urais wa Tanzania ilikuwa ile ya risasi 38 iliyofeli baada ya Mungu aliye hai kuikataa , na sasa tunahesabu masiku machache kabla ya Tanzania kujitwalia Uhuru kamili .
Mungu mbariki Tundu Lissu
Sawa,,,ila huo ndo ukweli.Huna hoja
Ni kweli mapenzi ya MUNGU yatimieNjama zozote za mtu yeyote kwa kutumwa na yeyote ama kujituma mwenyewe ili kuhujumu ushindi wa Lissu hazitafanikiwa
Wewe una matatizo ni zaidi ya shetaniLissu ana mikashfa kibao au umesahau alijipiga risasi 16 kule Dodoma.Lissu huyu au mwingine ana kashfa kubwa ya utoro bungeni.