mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Nendeni kijijini mkawaambie maji na umeme hayana maana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha makeyboard warrior mnatupa mzuka kama enzi za KimambiNothing lasts longer , Lissu akidhulumiwa hakutakuwa na mswalie mtume
Jibu hoja ya msingi watanzania wote wanaweza kugharamia Euro 275? Acha kuruka viunzi.Kumbe matibabu ukiwa nje ya nchi ulaya ni bima tu ?
Ulipii pango ulipii Kodi ulipii chochote unaishi miaka 3 ulaya?
Unakula kwa bima unaishi kwa bima unasafiri kwa bima .
Uliza Kwanza ndungai alitibiwa vipi kwa Bilion 12 India.?
Nani kakwambia garama za matibabu ya ulaya na Tanzania zinafanana?Jibu hoja ya msingi watanzania wote wanaweza kugharamia Euro 275? Acha kuruka viunzi.
Kwani maendeleo ya watu yakoje? Maana hata nyumba bora ni maendeleo lakini ni kitu. Muwe mnatumia ubongo kabla ya kusapoti mambo. Kujenga hospital,sio maendeleo ya watu?Mimi binafsi nitamchagua Tundu Lissu maana anagusa maisha yangu moja kwa moja kwa kusisitiza maendelea ya watu na sio vitu..
Miaka 60 ya Uhuru tunajisifia barabara? Na madaraja?
Miaka 60 ya Uhuru tunajisifia kujenga shule na zahanati tulikuwa wapi siku zote wakati watawala ni wale wale?
Miaka 60 CCM wanajisifia kupeleka umeme vijijini tulikuwa wapi miaka yote ?
Huu ni udhaifu wa CCM na Serikali yake miaka yote walikuwa wapi?.
Maji, Umeme, barabara sio masuala ya kutuletea hapa Kama mapya kwani kila siku tutajenga na tutaendelea kujenga kwa sababu tunalipa Kodi kwa kazi hizo.
Tunataka sera mpya zinazogusa maendeleo ya watu na sio vitu.
Lissu kaja na Dawa yake Bima ya afya kwa kila mtanzania
Kuifumua TRA ambayo Ni joka la mdimu kwa Taifa ili
Kuzifumua mifuko za hifadhi za jamii
Kutowakopa wakulima mazao yao
Mimi Ni Nani staki mabadiriko haya kwenye haya maisha mafupi kiasi hiki?
Labda mpumbabu tu ndiye atakataa hizi hoja na sera za Lissu.
Wewe baada ya oktoba unaweza kuchizikaNjama zozote za mtu yeyote kwa kutumwa na yeyote ama kujituma mwenyewe ili kuhujumu ushindi wa Lissu hazitafanikiwa
Wale wabunge mbona mmekubali mswalia mtume?Nothing lasts longer , Lissu akidhulumiwa hakutakuwa na mswalie mtume
Ahaaa. Sasa habari ya kudanganya watu nini maana yake? Kwa nini anadanganya atakutia bima kama za Ubelgiji?Nani kakwambia garama za matibabu ya ulaya na Tanzania yanafanana?
Pumbavu kabisa.
Nimejaribu kupekua mafaili yote ya wizi na ufisadi ndani ya Nchi hii yaliyojaa kila ofisi lakini sikufanikiwa kuona andiko hata liliofutika linaloeleza kashfa ya Mgombea Urais wa Chadema ambaye pia ni Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu.
Huyu mtu ni msafi kama theluji , hajawahi kudokoa , kudhulumu chochote popote , hajawahi kudhulumu nyumba ya Serikali wala ya mtu yeyote , hajawahi kuiba mtumbwi wa mtu, hajawahi kudhulumu boti ya uvuvi pale feri wala hajawahi kuiba Meli yoyote , ni mtu asiye na makandokando yoyote .
Tunaamini kwamba ameletwa na Mungu Mwenyewe kuja kuleta Uhuru kamili ndani ya nchi hii na amekuja kuleta furaha iliyotoweka kwa zaidi ya miaka mitano
View attachment 1558038
Ukifuatilia sera yake ya Elimu utagundua kwamba ameletwa maalum kuboresha elimu ya nchi hii ambayo mara zote imeshindwa kumkomboa mwanafunzi
View attachment 1558041
Wananchi wote wamemkubali na wameapa kumpa kura zao ili awaondolee dhiki kwa kuleta maendeleo ya kweli ya watu wa nchi hii
View attachment 1558044
Njia pekee ya kumdhibiti mtu huyu kutwaa Urais wa Tanzania ilikuwa ile ya risasi 38 iliyofeli baada ya Mungu aliye hai kuikataa , na sasa tunahesabu masiku machache kabla ya Tanzania kujitwalia Uhuru kamili .
Mungu mbariki Tundu Lissu
Nyumba inajengwaje wakati mtu hauna pesa mfukoniKwani maendeleo ya watu yakoje? Maana hata nyumba bora ni maendeleo lakini ni kitu. Muwe mnatumia ubongo kabla ya kusapoti mambo. Kujenga hospital,sio maendeleo ya watu?
Hicho ni kichomi kisicho na tibaImefikia hatua inakuwa ngumu kuzungumzia ujenzi wa uwanja wa ndege Chato,sijui tatizo ni nini
Ni kweli kabisa,uwezo wangu wa kutafuna umepungua sana.una uwezo duni sana !
Itakuwa chini ya kiwango hicho kwasababu selikali yetu ya awamu ya sita chini ya kamanda lissu itasubsdize 20% kwa kila mtu.Jana mh Lissu alivyokuwa tabora alisema anatamani nasisi tupate huduma nzuri ya afya kama aliyopata yeye Ubelgiji, kwa kweli ni jambo jema sana. Kasema alivyofika huko aliuliza sasa gharama itakuwaje? akaambiwa alipie Euro 275 tu na atatibiwa kwa mwaka mzima, kwa exchange rate ya leo euro moja ni sawa na Tshs 2748.07, kwa maana nyingine alilipia Tshs 756,000/=. Hiyo ndio bima ya watu wa kawaida wa Ubelgiji.
Lakini juzi Mh Lissu alivyokuwa Shinyanga alilalamika JPM kumnyima hela ya kutibiwa kwa maana nyingine alinyimwa Euro 275. Sitaki kuamini hayo alifanyiwa. Hoja yangu ni kama kila mtanzania atalipa euro 275 naamini huduma zetu zitakuwa bora sana ikiwezekana zaidi ya huko Ubelgiji lakini watanzania wangapi wenye huo uwezo wa kulipa euro 275?
Je, hii ndio bima nafuu anayo tuhabarisha huyu mheshimiwa? Wazo lake ni jema tatizo uwezo wa watanzania kumudu ndio shaka ilipo? Na ukiwa huna maana yake ufe, au? kwa sasa kama hauna bima kumwona daktari ni bure na matibabu ni bure katika zahanati za umma na vituo vya afya.
Aliwahi kukunyoosha marinda?Ushoga sio kashfa?
Wewe ndio mpumbavu na unayejidanganya mwenyeweAhaaa. Sasa habari ya kudanganya watu nini maana yake? Kwa nini anadanganya atakutia bima kama za Ubelgiji?
Ndio maana serikali inajenga hospital kwa kutumia pesa ili wananchi watibiwe. Hoja hapo ni kuwa nyumba inajengwa ili itumiwe na watu. Ndio maana ya maendeleo ya watu. Serikali inaboresha miundo mbinu,afya na elimu ili watu wanufaike. Tumia akili kabla ya kuandika upuuzi.Nyumba inajengwaje wakati mtu hauna pesa mfukoni
Tukiwaita wapumbavu mnalialia
Pumbavu kabisa.
Mbona hujibu swali? Watanzania wote wanaweza kupata Euro 275?Wewe ndio mpumbavu na unayejidanganya mwenyewe
utapeli ya 190,000 ya bima unaenda hospital unaambiwa dawa hakuna.