Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Mimi binafsi nitamchagua Tundu Lissu maana anagusa maisha yangu moja kwa moja kwa kusisitiza maendelea ya watu na sio vitu..

Miaka 60 ya Uhuru tunajisifia barabara? Na madaraja?

Miaka 60 ya Uhuru tunajisifia kujenga shule na zahanati tulikuwa wapi siku zote wakati watawala ni wale wale?

Miaka 60 CCM wanajisifia kupeleka umeme vijijini tulikuwa wapi miaka yote ?

Huu ni udhaifu wa CCM na Serikali yake miaka yote walikuwa wapi?.

Maji, Umeme, barabara sio masuala ya kutuletea hapa Kama mapya kwani kila siku tutajenga na tutaendelea kujenga kwa sababu tunalipa Kodi kwa kazi hizo.

Tunataka sera mpya zinazogusa maendeleo ya watu na sio vitu.

Lissu kaja na Dawa yake Bima ya afya kwa kila mtanzania

Kuifumua TRA ambayo Ni joka la mdimu kwa Taifa ili

Kuzifumua mifuko za hifadhi za jamii

Kutowakopa wakulima mazao yao

Mimi Ni Nani staki mabadiriko haya kwenye haya maisha mafupi kiasi hiki?

Labda mpumbabu tu ndiye atakataa hizi hoja na sera za Lissu.
Hata siku moja hamtakuja kuwa na demokrasia ya kweli kama daily mkisimama majukwaani mnaahidi kuwaletea wananchi, maji, barabara, umeme, matibabu, masoko ya mazao ya biashara kama hamtajibidisha kukamilisha haya sasa. Msidhani maendeleo ya ulaya yalipatikana kirahis hivyo, wenzenu waliumia sana ndyo maana leo wanaimba wimbo wa demokrasia kwa sababu wana kila kitu.
 
M
Jamani

jamani jamani jamani; bima inalipia "Consultation fees and medine". Tundu Lissu na alioambatana naye walistahili kula, kunywa na kulala
Mshahara wake ungefanya Nini? Mbona walimu wakilazwa hawalipiwi nauli ya kupeleka uji wa mgonjwa?
 
Mimi miaka yangu yote nilikuwa napigia ccm kura yangu ila 2015 nimepiga kura kwa mala ya mwisho na majuto juu

Kwa sasa Lissu ajiandae kuingia Ikulu akijua kuna kura za walokuwa CCM mamilioni na sasa ni CHADEMA imezama mioyoni
Ikulu ya ubeligiji au ipi unayoisemea kaka, hao waache kumpa Kura membe wakampe risu thubutuuuu. Jaman tuache ukasuku uchaguzi ni namba. Kumbuka mwaka 2015 tulikuwa na ukawa tukapata Kura za urais 6m .lakini this time kumbukeni kila mtu anapigana kivyake. Kama unakipenda chama chako jiandae kisaikolojia huo ndyo ukwel
 
Mkuu kama huelewi ni vizuri kuuliza kwanza ukaeleweshwa! Hivi unajua hiyo Bima ya serikali ya Lissu mfadhili wake atakuwa nani kama sio serikali yenyewe! Yeye katolea mfano wa ubora na unafuu wa matibabu, tayari wewe inalichukuwa jambo kama lilivyo! Si ndio nyie hata kwenye mtihani wakikuwekea mfano wa jibu kuwa ni "MAJANI" na wewe unaandika hivoivo! Maisha ya wananchi chini ya serikali ya Lissu hata wewe utayapenda na kuyafurahia sana, hebu achana na huo ukale fanya uamuzi sahihi kwa faida ya ndugu zako na watanzania wote!
 
M
Mshahara wake ungefanya Nini? Mbona walimu wakilazwa hawalipiwi nauli ya kupeleka uji wa mgonjwa?
Mara ya mwisho kugonga passport ni lini? Huwezi linganisha gharama za kuishi hotelini na matumizi ya nyumbani kwako ambayo hata hivyo mshahara hautoshi
 
Omba Mungu akupe akili japo za kupanda kitandani!
Sidhani kama unajua hata ulichoandika!
Sidhani kama hata unaijua jinsia yako vizuri!
Kachanginyikiwa sio kwamba hana akili anazo ila kiwewe. JPM kavurugwa hatari jana alikuwa anafokea wapiga kura Shinyanga, sasa kama baba yao Kachanginyikiwa watoto je? Ha ha

Kura kwa Lissu baaaaasi!!
 
Hukumuelewa ndugu Lisu alisema watu watachangia mfuko wa bima kulingana na kipato chao kwamba anayepata zaidi atachangia zaidi lakini mwisho wa siku wote watapata huduma sawa iliyo na uswa bila ubaguzi wa kipato, akatoa mfono wa Ubelgigi kwamba hata mfalme wa ublelgigi anapata matibabu sawa na mtu wa hali ya chini
 
FE3B219A-F454-4D5C-81F9-3DCC56AAD56B.jpeg

........Mifumo yote ya afya West Europe inafanana ipo modelled kama NHS (ndio wa kwanza kutoa universal health) jinsi inavyokuwa funded.

Ili kila mtu atibiwe bure ata wale wasiofanya kazi; walio ajiriwa na waajiri wao ndio wanachangia social security fund na asilimia ya raia walio kwenye ajira ni above 95%.

Utalipa EU mia tatu kwa mwaka we nani labda kama wewe ni unemployed. Tukisema huyo mtu anajiropokea hata hajui hiyo mifumo inavyofanya kazi mnaona kama tuna mtukana.
 
Jana mh Lissu alivyokuwa tabora alisema anatamani nasisi tupate huduma nzuri ya afya kama aliyopata yeye Ubelgiji, kwa kweli ni jambo jema sana. Kasema alivyofika huko aliuliza sasa gharama itakuwaje? akaambiwa alipie Euro 275 tu na atatibiwa kwa mwaka mzima, kwa exchange rate ya leo euro moja ni sawa na Tshs 2748.07, kwa maana nyingine alilipia Tshs 756,000/=. Hiyo ndio bima ya watu wa kawaida wa Ubelgiji.

Lakini juzi Mh Lissu alivyokuwa Shinyanga alilalamika JPM kumnyima hela ya kutibiwa kwa maana nyingine alinyimwa Euro 275. Sitaki kuamini hayo alifanyiwa. Hoja yangu ni kama kila mtanzania atalipa euro 275 naamini huduma zetu zitakuwa bora sana ikiwezekana zaidi ya huko Ubelgiji lakini watanzania wangapi wenye huo uwezo wa kulipa euro 275?

Je, hii ndio bima nafuu anayo tuhabarisha huyu mheshimiwa? Wazo lake ni jema tatizo uwezo wa watanzania kumudu ndio shaka ilipo? Na ukiwa huna maana yake ufe, au? kwa sasa kama hauna bima kumwona daktari ni bure na matibabu ni bure katika zahanati za umma na vituo vya afya.

Kapime
 
Maendeleo ya watu mtayapata vipi bila kuwa na vitu mmetiwa chaka!
Hivi kabla ya mwaka 2015 Tanzania ilitawaliwa na TLP? CCM hawana jipya nchi hii, hao ndo chanzo kikuu cha umaskini wa Tanzania akifuatiwa na shetani
 
Yaan mnaendelea kujidanganya Lissu kushida, labda twiter na JF,
Hatuwezi mpa inchi kibaraka wa wazungu, ilishindikana kwa Lowasa na mafuliko ije kuwa huyu kibara, jana nimeona kwa macho yangu mkutano wake ,utadhani yupo wilayani kumbe yupo mkoani, mahudhulio tu yanatoa picha
ha ha wapambe nuksi Magufuli hakushinda 2015 alipata asilimia 39 mwaka huu akipata 10 utakuwa muujiza ajiandae kwenda chato tu
 
Hukumuelewa ndugu Lisu alisema watu watachangia mfuko wa bima kulingana na kipato chao kwamba anayepata zaidi atachangia zaidi lakini mwisho wa siku wote watapata huduma sawa iliyo na uswa bila ubaguzi wa kipato, akatoa mfono wa Ubelgigi kwamba hata mfalme wa ublelgigi anapata matibabu sawa na mtu wa hali ya chini
Bado unanichanganya, yaani nilipe bima laki tatu kwa mwezi ukanilaze amana ile wodi ya bodaboda. Hiyo hapana mkuu
 
Mimi binafsi nitamchagua Tundu Lissu maana anagusa maisha yangu moja kwa moja kwa kusisitiza maendelea ya watu na sio vitu..

Miaka 60 ya Uhuru tunajisifia barabara? Na madaraja?

Miaka 60 ya Uhuru tunajisifia kujenga shule na zahanati tulikuwa wapi siku zote wakati watawala ni wale wale?

Miaka 60 CCM wanajisifia kupeleka umeme vijijini tulikuwa wapi miaka yote ?

Huu ni udhaifu wa CCM na Serikali yake miaka yote walikuwa wapi?.

Maji, Umeme, barabara sio masuala ya kutuletea hapa Kama mapya kwani kila siku tutajenga na tutaendelea kujenga kwa sababu tunalipa Kodi kwa kazi hizo.

Tunataka sera mpya zinazogusa maendeleo ya watu na sio vitu.

Lissu kaja na Dawa yake Bima ya afya kwa kila mtanzania

Kuifumua TRA ambayo Ni joka la mdimu kwa Taifa ili

Kuzifumua mifuko za hifadhi za jamii

Kutowakopa wakulima mazao yao

Mimi Ni Nani staki mabadiriko haya kwenye haya maisha mafupi kiasi hiki?

Labda mpumbabu tu ndiye atakataa hizi hoja na sera za Lissu.
Kubwabwaja ni kazi rahisi. Shija ni kuwa kupanga ni kuchagua. Binaadamu bila ya vitendea kazi bora na vya kisasa atakuwa ni km nyani! Utasemaje barabara za lami hazina tija kwa maendeleo ya watu kwa kutaja mfano mdogo tu!
 
Back
Top Bottom