Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Wanabodi,

Ukiangalia namna ambavyo upinzani ulitikiswa katika miaka hii mitano, ile hama hama ya baadhi ya viongozi wa upinzani yaaani kuunga mkono juhudi nk.

Kukosekana kwa kufanya mikutano ya siasa kwa vyama.

Utanielewa niyasemayo.

Niishie hapa.
sisi wapiga kura ndo tunajua ubora wa JPM na ndiyo tunamrudisha Ikulu
 
Lissu huwezi mfananisha na Dr. Slaa wala Lowasa. Labda kawazidi porojo na matusi tu, wale wazee walijikita kwenye hoja na nyingi za hizo hoja jembe JPM kazifanyia kazi kisawasawa.
Hivi ni huku jiwe ndiye alizomewa au ni nani?
 
chorus:: tumeibiwa kura
Wanabodi,

Ukiangalia namna ambavyo upinzani ulitikiswa katika miaka hii mitano, ile hama hama ya baadhi ya viongozi wa upinzani yaaani kuunga mkono juhudi nk.

Kukosekana kwa kufanya mikutano ya siasa kwa vyama.

Utanielewa niyasemayo.

Niishie hapa.
 
Mataga walikua wamemzoeya Lowasa anaongea dakika 3 anarudi kukaa 🤣
linganisha Lisu alivyokuwa akijaza watu mikutanoni na huyu Lisu mwongeaji ambaye anaongea utafikiri kama kameza hard disk

Lowasa aliongea sera ambayo hakuna anayeweza sahau alisema chadema ikishika nchi kipau mbele cha kwanza Elimu kipaumbele cha pili Elimu na kipau mbele cha tatu ni ELIMU
ULIZA MTU yeyote anayehudhuria mikutano ya Lisu akueleze srea za chadema ni zipi hakuna anayejua.Lisu akipanda jukwaani ni kupiga porojona vitu vya kizushi vingi mpaka mtu anasahau haelewi kaanzia wapi na kaishia wapi

Lisu atavunja rekodi ya kupata kura chache kuliko mgombea uraisi yeyote wa chadema toka chadema ianzishwe
 
Lissu hajafikia hata robo ya levo za kina Lowasa na dr Slaa kwenye nyanja zote kuanzia sera,umakini na hata ushawishi kwa watu.Lissu hana lugha ya ushawishi kumzidi dr Slaa.
 
Anawasilisha sera kwa weledi sana hata mtu asie na elimu ya darasa la saba anaelewa kwanza anataja tatizo, kisha limesababishwa na nani, kisha madhara yake, kisha yeye atafanya nini kulitatua aina hii ya uwasilishaji CCM hawakuuzoe ndo maana wanaona kama anatukana lakini wakiulizwa taja matusi aliyotukana hawana majibu hivyo kumfanya lisu awe tofauti na mgombea yeyote tangu tupate uhuru.
[/QUOTE
 
Kwa uwasilishaji wako, naamini hukuona moto wa Lyatonga Mrema jukwaani, hukuona! Jamaa alikuwa akimaliza kuongea watu wanatamani hata kubeba gari lake mabegani!
Mwalimu Nyerere alisema pale Jangwani, “ Hata kama anabebwa kama jeneza Mwache ni”. Maana taharuki yake ilikuwa juu sana kwa dola. Huu moto wa sasa kwangu haujakaribia kabisa pale.
 
Wanabodi,

Ukiangalia namna ambavyo upinzani ulitikiswa katika miaka hii mitano, ile hama hama ya baadhi ya viongozi wa upinzani yaaani kuunga mkono juhudi nk.

Kukosekana kwa kufanya mikutano ya siasa kwa vyama.

Utanielewa niyasemayo.

Niishie hapa.
Akili ni nywele Kila mtu...
 
linganisha Lisu alivyokuwa akijaza watu mikutanoni na huyu Lisu mwongeaji ambaye anaongea utafikiri kama kameza hard disk

Lowasa aliongea sera ambayo hakuna anayeweza sahau alisema chadema ikishika nchi kipau mbele cha kwanza Elimu kipaumbele cha pili Elimu na kipau mbele cha tatu ni ELIMU
ULIZA MTU yeyote anayehudhuria mikutano ya Lisu akueleze srea za chadema ni zipi hakuna anayejua.Lisu akipanda jukwaani ni kupiga porojona vitu vya kizushi vingi mpaka mtu anasahau haelewi kaanzia wapi na kaishia wapi

Lisu atavunja rekodi ya kupata kura chache kuliko mgombea uraisi yeyote wa chadema toka chadema ianzishwe

Mataga mnavituko mnooo 🤣 🤣 🤣

Leo mnasema Lowasa alikua ndiyo best kwasababu tu alikua anongea dakika 3 anarudi kukaa.

Leo tumekileta chuma mmeanza kuhaha kama kuku aliyeferengwa kichwa. Mtanyooka safari hii.
 
Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
Hapana kamanda. Huyu jamaa ni kwenda naye polepole.
Tukimpa muda mwingi ataanza kuropoka.
Si unamjua?
 
Hotuba zake:
√ Hazizungumzii maendeleo. Akishinda uchaguzi (ambayo ni ndoto) akiombwa kujenga barabara au daraja ili kuwawezesha watu wafanye shughuli za kijamii na maendeleo atakataa kwa kuwa hayo ni maendeleo ya vitu;

√ Anabeza miradi ya mendeleo yanayofanywa na Serikali;

√ Anahamasisha vurugu asipotangazwa mshindi, ingawa uchaguzi bado, ati kwa sababu ya nyomi inayohudhuria kampeni zake. Kuna wanasiasa walibebwa mgongoni na wengine barabara za lami zilipigwa deki bado hawakushinda uchaguzi;

√ Hana mpango wa nchi kujitegemea kimaendeleo. Yawezekana ndiyo maana anatembeza bakuri la ombaomba kwenye kampeni zake;

√ Pamoja na nchi kuwa tajiri, badala ya kujenga uchumi imara anawambia WaTz kuwa atazunguka nchi za ulaya kuomba misaada au kuwakaribisha wamiliki njia kuu za uchumi (nishati, miundo mbinu ya usafiri wa reli,barabara, anga na maji, ardhi, nishati, maliasili, nk);

√ Hajaweza, kwa sababu ya aibu, kuwambia WaTz CHADEMA, chama chake, tangu kimeanzishwa, au kwa miaka 5 ya Utawala wa Magufuli (anayemdharilisha) jambo lolote la kitaifa wamefanya zaidi ya kupinga kila kitu na kususia vikao vya bunge na hata kupinga bajeti. Ana uhalali gani wa kuhoji matumizi ya kodi za wananchi?;

√ Anawahadaa wapiga kura kwamba hawako huru, na hata vyombo vya habari haviko huru, wakati ni uhuru alio nao anatumia kuchochea vurugu, kudharilisha na kutukana watu. Kampeni yake ya kwanza aliwafukuza TBC;

√ Anawahadaa wapiga kura kuwa CHADEMA, chama chake, kitajenga jamii yenye kujua na kudai haki zao, wakati uleule anadharilisha haki ya wagombea, wengine, Rais aliyeko madarakani na viongozi wa Serikali na dini;

YAKO MENGI YA HOVYO NA VIOJA VYA LISSU, LAKINI YATOSHA KUWATAHADHARISHA WAPIGA KURA KUWA AMETUMWA KUCHOCHEA VURUGU ARUDI HUKO ALIKOTOKA KWA KUWA TAYARI AMEPEWA URAIA. AJUE KWAMBA HATA HAO WALIOMPA URAIA, RAIA WAKE HAWATAPENDA KUISHI NA MTU LAGHAI NA MCHOCHEZI.

Tanzania ni salama na itaendelea kuwa salama. Atakayefuata ulaghai wake Lissu, atambue kuwa ni yeye tu hatakuwa salama.
 
Msamaha gani mlitaka mpewe? Kiuhalisia mlitakiwa mshitakiwe mfungwe mkanyee debe. Kama hujui forgery ni kosa la jinai.

Kitendo cha Rais kuwafukuza kazi bila kuwachukulia hatua za kisheria ni hisani tosha.
Makonda mbona hamjamshitaki au kwa kuwa anaongoza lile genge lenu la wasiojulikana.
 
Huyu huyu lisu mzee wa kiki na miujiza

Hapa makambako hakuna alichuhutubia zaidi ya kulialia na kulaum, halafu akatuachia mweleka wa jukwaani, halafu akasepa zake.
Wewe ni ccm bila shaka. Huwezi kutoa a balanced view of what happened. Hivyo wewe ni wa kupuuzwa tu.
 
Hotuba zake:
√ Hazizungumzii maendeleo. Akishinda uchaguzi (ambayo ni ndoto) akiombwa kujenga barabara au daraja ili kuwawezesha watu wafanye shughuli za kijamii na maendeleo atakataa kwa kuwa hayo ni maendeleo ya vitu;

√ Anabeza miradi ya mendeleo yanayofanywa na Serikali;

√ Anahamasisha vurugu asipotangazwa mshindi, ingawa uchaguzi bado, ati kwa sababu ya nyomi inayohudhuria kampeni zake. Kuna wanasiasa walibebwa mgongoni na wengine barabara za lami zilipigwa deki bado hawakushinda uchaguzi;

√ Hana mpango wa nchi kujitegemea kimaendeleo. Yawezekana ndiyo maana anatembeza bakuri la ombaomba kwenye kampeni zake;

√ Pamoja na nchi kuwa tajiri, badala ya kujenga uchumi imara anawambia WaTz kuwa atazunguka nchi za ulaya kuomba misaada au kuwakaribisha wamiliki njia kuu za uchumi (nishati, miundo mbinu ya usafiri wa reli,barabara, anga na maji, ardhi, nishati, maliasili, nk);

√ Hajaweza, kwa sababu ya aibu, kuwambia WaTz CHADEMA, chama chake, tangu kimeanzishwa, au kwa miaka 5 ya Utawala wa Magufuli (anayemdharilisha) jambo lolote la kitaifa wamefanya zaidi ya kupinga kila kitu na kususia vikao vya bunge na hata kupinga bajeti. Ana uhalali gani wa kuhoji matumizi ya kodi za wananchi?;

√ Anawahadaa wapiga kura kwamba hawako huru, na hata vyombo vya habari haviko huru, wakati ni uhuru alio nao anatumia kuchochea vurugu, kudharilisha na kutukana watu. Kampeni yake ya kwanza aliwafukuza TBC;

√ Anawahadaa wapiga kura kuwa CHADEMA, chama chake, kitajenga jamii yenye kujua na kudai haki zao, wakati uleule anadharilisha haki ya wagombea, wengine, Rais aliyeko madarakani na viongozi wa Serikali na dini;

YAKO MENGI YA HOVYO NA VIOJA VYA LISSU, LAKINI YATOSHA KUWATAHADHARISHA WAPIGA KURA KUWA AMETUMWA KUCHOCHEA VURUGU ARUDI HUKO ALIKOTOKA KWA KUWA TAYARI AMEPEWA URAIA. AJUE KWAMBA HATA HAO WALIOMPA URAIA, RAIA WAKE HAWATAPENDA KUISHI NA MTU LAGHAI NA MCHOCHEZI.

Tanzania ni salama na itaendelea kuwa salama. Atakayefuata ulaghai wake Lissu, atambue kuwa ni yeye tu hatakuwa salama.
Rubbish.
 
Back
Top Bottom