Katashekadm
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 728
- 775
Ni yeye msalitiView attachment 1572022
Ni Yeye 2020
Ni yeye anayetaka kuweka rehani Mali zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yeye msalitiView attachment 1572022
Ni Yeye 2020
sisi wapiga kura ndo tunajua ubora wa JPM na ndiyo tunamrudisha IkuluWanabodi,
Ukiangalia namna ambavyo upinzani ulitikiswa katika miaka hii mitano, ile hama hama ya baadhi ya viongozi wa upinzani yaaani kuunga mkono juhudi nk.
Kukosekana kwa kufanya mikutano ya siasa kwa vyama.
Utanielewa niyasemayo.
Niishie hapa.
Hivi ni huku jiwe ndiye alizomewa au ni nani?Lissu huwezi mfananisha na Dr. Slaa wala Lowasa. Labda kawazidi porojo na matusi tu, wale wazee walijikita kwenye hoja na nyingi za hizo hoja jembe JPM kazifanyia kazi kisawasawa.
Acha kuzungumzia wingi, usifanye Watanzania wote hatuelewisisi wapiga kura ndo tunajua ubora wa JPM na ndiyo tunamrudisha Ikulu
Wanabodi,
Ukiangalia namna ambavyo upinzani ulitikiswa katika miaka hii mitano, ile hama hama ya baadhi ya viongozi wa upinzani yaaani kuunga mkono juhudi nk.
Kukosekana kwa kufanya mikutano ya siasa kwa vyama.
Utanielewa niyasemayo.
Niishie hapa.
Jukwaa la mgombea udiwani?View attachment 1572022
Ni Yeye 2020
linganisha Lisu alivyokuwa akijaza watu mikutanoni na huyu Lisu mwongeaji ambaye anaongea utafikiri kama kameza hard diskMataga walikua wamemzoeya Lowasa anaongea dakika 3 anarudi kukaa 🤣
Anawasilisha sera kwa weledi sana hata mtu asie na elimu ya darasa la saba anaelewa kwanza anataja tatizo, kisha limesababishwa na nani, kisha madhara yake, kisha yeye atafanya nini kulitatua aina hii ya uwasilishaji CCM hawakuuzoe ndo maana wanaona kama anatukana lakini wakiulizwa taja matusi aliyotukana hawana majibu hivyo kumfanya lisu awe tofauti na mgombea yeyote tangu tupate uhuru.
[/QUOTE
Kwa uwasilishaji wako, naamini hukuona moto wa Lyatonga Mrema jukwaani, hukuona! Jamaa alikuwa akimaliza kuongea watu wanatamani hata kubeba gari lake mabegani!Anawasilisha sera kwa weledi sana hata mtu asie na elimu ya darasa la saba anaelewa kwanza anataja tatizo, kisha limesababishwa na nani, kisha madhara yake, kisha yeye atafanya nini kulitatua aina hii ya uwasilishaji CCM hawakuuzoe ndo maana wanaona kama anatukana lakini wakiulizwa taja matusi aliyotukana hawana majibu hivyo kumfanya lisu awe tofauti na mgombea yeyote tangu tupate uhuru.
Akili ni nywele Kila mtu...Wanabodi,
Ukiangalia namna ambavyo upinzani ulitikiswa katika miaka hii mitano, ile hama hama ya baadhi ya viongozi wa upinzani yaaani kuunga mkono juhudi nk.
Kukosekana kwa kufanya mikutano ya siasa kwa vyama.
Utanielewa niyasemayo.
Niishie hapa.
linganisha Lisu alivyokuwa akijaza watu mikutanoni na huyu Lisu mwongeaji ambaye anaongea utafikiri kama kameza hard disk
Lowasa aliongea sera ambayo hakuna anayeweza sahau alisema chadema ikishika nchi kipau mbele cha kwanza Elimu kipaumbele cha pili Elimu na kipau mbele cha tatu ni ELIMU
ULIZA MTU yeyote anayehudhuria mikutano ya Lisu akueleze srea za chadema ni zipi hakuna anayejua.Lisu akipanda jukwaani ni kupiga porojona vitu vya kizushi vingi mpaka mtu anasahau haelewi kaanzia wapi na kaishia wapi
Lisu atavunja rekodi ya kupata kura chache kuliko mgombea uraisi yeyote wa chadema toka chadema ianzishwe
Hapana kamanda. Huyu jamaa ni kwenda naye polepole.Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
Kaanza kubadilika.Naangalia live ujue. Leo Lissu kaongea kama Rais wa nchi hii.
Makonda mbona hamjamshitaki au kwa kuwa anaongoza lile genge lenu la wasiojulikana.Msamaha gani mlitaka mpewe? Kiuhalisia mlitakiwa mshitakiwe mfungwe mkanyee debe. Kama hujui forgery ni kosa la jinai.
Kitendo cha Rais kuwafukuza kazi bila kuwachukulia hatua za kisheria ni hisani tosha.
Wewe ni ccm bila shaka. Huwezi kutoa a balanced view of what happened. Hivyo wewe ni wa kupuuzwa tu.Huyu huyu lisu mzee wa kiki na miujiza
Hapa makambako hakuna alichuhutubia zaidi ya kulialia na kulaum, halafu akatuachia mweleka wa jukwaani, halafu akasepa zake.
Rubbish.Hotuba zake:
√ Hazizungumzii maendeleo. Akishinda uchaguzi (ambayo ni ndoto) akiombwa kujenga barabara au daraja ili kuwawezesha watu wafanye shughuli za kijamii na maendeleo atakataa kwa kuwa hayo ni maendeleo ya vitu;
√ Anabeza miradi ya mendeleo yanayofanywa na Serikali;
√ Anahamasisha vurugu asipotangazwa mshindi, ingawa uchaguzi bado, ati kwa sababu ya nyomi inayohudhuria kampeni zake. Kuna wanasiasa walibebwa mgongoni na wengine barabara za lami zilipigwa deki bado hawakushinda uchaguzi;
√ Hana mpango wa nchi kujitegemea kimaendeleo. Yawezekana ndiyo maana anatembeza bakuri la ombaomba kwenye kampeni zake;
√ Pamoja na nchi kuwa tajiri, badala ya kujenga uchumi imara anawambia WaTz kuwa atazunguka nchi za ulaya kuomba misaada au kuwakaribisha wamiliki njia kuu za uchumi (nishati, miundo mbinu ya usafiri wa reli,barabara, anga na maji, ardhi, nishati, maliasili, nk);
√ Hajaweza, kwa sababu ya aibu, kuwambia WaTz CHADEMA, chama chake, tangu kimeanzishwa, au kwa miaka 5 ya Utawala wa Magufuli (anayemdharilisha) jambo lolote la kitaifa wamefanya zaidi ya kupinga kila kitu na kususia vikao vya bunge na hata kupinga bajeti. Ana uhalali gani wa kuhoji matumizi ya kodi za wananchi?;
√ Anawahadaa wapiga kura kwamba hawako huru, na hata vyombo vya habari haviko huru, wakati ni uhuru alio nao anatumia kuchochea vurugu, kudharilisha na kutukana watu. Kampeni yake ya kwanza aliwafukuza TBC;
√ Anawahadaa wapiga kura kuwa CHADEMA, chama chake, kitajenga jamii yenye kujua na kudai haki zao, wakati uleule anadharilisha haki ya wagombea, wengine, Rais aliyeko madarakani na viongozi wa Serikali na dini;
YAKO MENGI YA HOVYO NA VIOJA VYA LISSU, LAKINI YATOSHA KUWATAHADHARISHA WAPIGA KURA KUWA AMETUMWA KUCHOCHEA VURUGU ARUDI HUKO ALIKOTOKA KWA KUWA TAYARI AMEPEWA URAIA. AJUE KWAMBA HATA HAO WALIOMPA URAIA, RAIA WAKE HAWATAPENDA KUISHI NA MTU LAGHAI NA MCHOCHEZI.
Tanzania ni salama na itaendelea kuwa salama. Atakayefuata ulaghai wake Lissu, atambue kuwa ni yeye tu hatakuwa salama.
Thanks, however, visit a Psychiatrist, you need her/his service urgently.Rubbish.