Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Nawe siku hizi ni mtaalamu wa sheria? siku hizi mambo ni kirahisi rahisi tu, Nimewasikia wengi wakijiita madokta, eti wahandisi n.k. Ukichunguza kaishia la Saba, au san sana . kidato cha 4. Mmmmmm balaaa!Chief umeona hivyo vipengele kwenye huo mkataba, wewe ukiwa na shamba lako unaweza kukubali mkataba kao huo, mfano kipengele hiki.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.
Teh teh tehFicha kuilaza wako wewe msomi wa madrassa tu
Kiufupi huna kumbukumbu ama umejitoa ufahamu. Wakati wa Mkapa walimsema kuhusu kuuza NBC na ATC, na Mkapa ni Mkatoliki. Wakati wa Magufuli walimsema kuhusu corona na Magufuli ni Mkatoliki. Unataka wafanyeje? Hakuna kipindi kanisa Katoliki limekaa kimya kwenye masuala yanayogusa utaifa na utangamano wa watu wakeBaraza lenyewe la mchongo. Mbona wakati wa magufuli hawakuwahi kutoka tamko lolote au wapo kwaajili ya kukosoa uongozi wa kiislamu Tu?
Kumbuka hao ni maaskofu,hapo ni degree,masters na Phd tupu sio makanjanja haoUsikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
BBT ni NINI?Sambamba na bandari kinachopingwa kwa nguvu zote hivi sasa ni BBT.
Hilo kama hamjaliona bado mtaanza kuliona hivi punde. Ntawakubusha.
Unawafahamu Wakatoliki ama unawasikia? Uchwara eeh! Urudi hapa siku chache zijazo kama utasikia habari ya bandari tena- 😀 😀 😀 😀Vitamko uchwara kama hivyo haviwezi kuzuia serikali kuendelea na majukumu yake!!
Bibi kisabengo aka betina na elimu yake ya Udaktari ameaibisha UDSM, ajiite tu mama nanii😁😁Mama katuuza, nilimsikiliza Prof Shivji jana akiuchambua huu mkataba kwakweli inasikitisha, unajiuliza hawa walioingia mkataba na DP World ni Watz wenzetu kweli au mamluki?!.
Weka mabandiko hayo tafadhali. Wengine hatujaonaNi kama vile mambo yanatendeka kwa haraka sana tena yakiwa yamebeba uzito mkubwa
Tumuombe Mungu wa mbinguni atujalie Hekima yake tuweze kuvuka kwa sababu ni dhahiri tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki litazua Mjadala mpya
Jumaa Mubarak!
Bora kuliko kusikiliza primitive mythologies na kuamini ujinga huo wa kizamaniTeh teh teh
Ahsante kwa kunipa cheo changu stahiki.
Mimi kweli nimesoma madrasa na ntaendelea na elmu hii mpk mwisho.
Tatizo nyie waefeso mkishapata kondoo kadhaa wa kuwadanganya tayari mnajiona wasomi.
Pita pale magomeni jioni utakuta kondoo kibao wanatolewa mapepo kwa shs elf 50.
We unakwenda kuomba kwa mchungaji au padri akusaidie kupata kazi au upate ujauzito wakati kazi hutafuti wala hospital hujaenda! Halafu uko tayari kumpa elf 50!
Hio ndio kuelimika ?
Duh!Huna akili
Aisee huu ni uwakilishi wa wakatoliki milioni 20 ujue. Sasa hao unaowaita seriksli waendelee tuSasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?
Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.
Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Kaa kimya unyolewe. Tamko limetoka kwa wananchi wenye nchi. Polepole mtaelewa tu. Mlidhani mnaweza kumuuzia mwarabu vipande vya nchi yetu na wananchi wake kimya?Hahahah wameyaleza leo😂
🤣Kaa kimya unyolewe. Tamko limetoka kwa wananchi wenye nchi. Polepole mtaelewa tu. Mlidhani mnaweza kumuuzia mwarabu vipande vya nchi yetu na wananchi wake kimya?