Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Nawe siku hizi ni mtaalamu wa sheria? siku hizi mambo ni kirahisi rahisi tu, Nimewasikia wengi wakijiita madokta, eti wahandisi n.k. Ukichunguza kaishia la Saba, au san sana . kidato cha 4. Mmmmmm balaaa!Chief umeona hivyo vipengele kwenye huo mkataba, wewe ukiwa na shamba lako unaweza kukubali mkataba kao huo, mfano kipengele hiki.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.