Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Sina mpango wa kulijua, ila kuna kipindi lilidekezwa sana mpaka kufikiri Tanzania bila hilo kanisa haitawaliki. Sasa hivi makanisa yapo mengi, wala wao hawana nafasi hiyo tena.Hulijui Kanisa la Roma wewe, hao hata wakiamua leo huyo mama abduli kesho asepe atasepa ila hekima wanayo
WAZEE WA DAR NI BENDERA FUATA UPEPO WA BAHARI WANAKURUPUSHWA NA CCMNi kama vile mambo yanatendeka kwa haraka sana tena yakiwa yamebeba uzito mkubwa
Tumuombe Mungu wa mbinguni atujalie Hekima yake tuweze kuvuka kwa sababu ni dhahiri tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki litazua Mjadala mpya
Jumaa Mubarak!
Zinapaswa zisiwepoKuna siku hoja za udini ziliwahi kutokuwepo hapa Tanzania?
Chief umeona hivyo vipengele kwenye huo mkataba, wewe ukiwa na shamba lako unaweza kukubali mkataba kao huo, mfano kipengele hiki.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi
Wqgalatia bana nikuulize kitu mkataba kati ya serikali na Barick kuchimba dhahabu miaka 100 wananchi walishirikishwa ? Hawa maskofu walitoa tamko wewe baada ya miaka 100 na maskofu wako mtakuwa hai?Chief umeona hivyo vipengele kwenye huo mkataba, wewe ukiwa na shamba lako unaweza kukubali mkataba kao huo, mfano kipengele hiki.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.
Umesema kweli tupu. Utapeli mtupu wa kuombea kwa kulipa fedha. Kuna tapeli mwingine alidanganya watu wakijiua kwa kutetea dini yao eti watakwenda peponi na kupewa wanawake 70 wa kugegeda! Kama siyo wendawazimu ni nini?Teh teh teh
Ahsante kwa kunipa cheo changu stahiki.
Mimi kweli nimesoma madrasa na ntaendelea na elmu hii mpk mwisho.
Tatizo nyie waefeso mkishapata kondoo kadhaa wa kuwadanganya tayari mnajiona wasomi.
Pita pale magomeni jioni utakuta kondoo kibao wanatolewa mapepo kwa shs elf 50.
We unakwenda kuomba kwa mchungaji au padri akusaidie kupata kazi au upate ujauzito wakati kazi hutafuti wala hospital hujaenda! Halafu uko tayari kumpa elf 50!
Hio ndio kuelimika ?
Wewe punguani kweli unadhani serikali inaweza kupangiwa kazi na hawa maaskofu wala rushwa.Kaa kimya unyolewe. Tamko limetoka kwa wananchi wenye nchi. Polepole mtaelewa tu. Mlidhani mnaweza kumuuzia mwarabu vipande vya nchi yetu na wananchi wake kimya?
Sasa uzeni bandariWewe punguani kweli unadhani serikali inaweza kupangiwa kazi na hawa maaskofu wala rushwa.
Unajua elimu ya mapadri wewe? Jina lako linaendana na aliyeuza nchi enzi za utumwa kwa kuhongwa shanga na vioo vya kujitazama....Chief Mangungo wa Msovero na bado unasupport nchi kupigwa mnada ,kweli majina huumba.
Wapi umewahi niona naunga mkono mambo ya dini kuingilia mambo ya serikali?
Jiandae kuficha sura yako wewe mropokajiHawa maaskofu mapunguwani kweli wanaleta ushabiki wa kidini kwenye mambo ya msingi. Mama shikilia hapo hapo DP world washaanza kuwekeza haturudi nyuma.
Mtaishia kutoa matamko tu serilkali inaendelea na mchakato wake wa kuleta maendeleo kwa wananchi.Sasa uzeni bandari
Jiandae kuificha sura yako utapotea tena JfMtaishia kutoa matamko tu serilkali inaendelea na mchakato wake wa kuleta maendeleo kwa wananchi.
Rais mwenyewe juzi kakiri hajui kwanini mpaka leo tu maskini ukilinganisha na Nchi ASIA ambazo miongo kadhaa nyuma tulikuwa wote maskini lakini wenzetu leo mambo yamenyooka, unadhani kugawa rasilimali za Nchi ndio kuleta maendeleo, naamini ipo siku tutakutana tena hapa tukijadili faida au hasara za hichi munachoita uwekezaji.Mtaishia kutoa matamko tu serilkali inaendelea na mchakato wake wa kuleta maendeleo kwa wananchi.
Yaani tamko letu Maskofu ww Chadema ndiyo mzuie serikali isifanye kazi yake punguani kweli wewe.Jiandae kuificha sura yako utapotea tena Jf
Tanzania tumepata uhuru mwaka 1961 Rais alikuwa Samia? Lazima ashange yeye ana miaka ya urais mitatu anataka kuweka nchi sawa nyie na Maskofu mnaleta udini wenu wazungu wanachota madini kila siku mpo kimya mmeufyata.Rais mwenyewe juzi kakiri hajui kwanini mpaka leo tu maskini ukilinganisha na Nchi ASIA ambazo miongo kadhaa nyuma tulikuwa wote maskini lakini wenzetu leo mambo yamenyooka, unadhani kugawa rasilimali za Nchi ndio kuleta maendeleo, naamini ipo siku tutakutana tena hapa tukijadili faida au hasara za hichi munachoita uwekezaji.
Hasa wale wenye macho mdiliko wakitajiwa wanawake wa kugegeda akili hamna tena.Umesema kweli tupu. Utapeli mtupu wa kuombea kwa kulipa fedha. Kuna tapeli mwingine alidanganya watu wakijiua kwa kutetea dini yao eti watakwenda peponi na kupewa wanawake 70 wa kugegeda! Kama siyo wendawazimu ni nini?