Unaona ulivyo bwege...

Kwa habari ya Lissu, Mbowe, hao wameongea kama watanzania walio Ndani ya vyama ,waloamua nawao kukutumia hili kama sehem ya Siasa .


Punguza ujingaaaa
Sasa we si umedai manabii walitumwa na Mungu kuwaonya wafalme.

Sasa twambie ASKOFU gani au Padri Gani katumwa na Mungu amkosoe Mama Samia?
Kijana acha bangi au utakula mpk mtaji wa baba Carlos
 
Hizo sifa zote ulizowamwagia hao DP World hakuna mwenye tatizo nazo, tatizo ni huu mkataba wa kihuni hapa kwetu fullstop.
 
Wapambane na kale kamchezo ka mapadri kanakolipaka tope kanisa. Kwani ni manyumbu tuu watakaowaunga mkono kwasababu tunajua kila akiwa raisi muislamu wao ndio huonekakana
 
Sasa umedai manabii walitumwa na Mungu kuwaonya wafalme.

Sasa twambie ASKOFU gani au Padri Gani katumwa na Mungu amkosoe Mama Samia?
Kijana acha bangi au utakula mpk mtaji wa baba Carlos

Ujinga mtupu, umejaza matope kichwan tu.



Na unauelewa kiduchuuu.


Umesema Maaskofu wabaki na Dini..nmekujibu, Mungu aliwatumia viongozi wa Dini.


Ukaja na hoja ya Akina Lissu..nmekujibu , ni watanzania na wanasiasa.



Unarudi kulekuke ulikotoka.

Wee ni lijingaaa
 
Wanajiona wao tu ndio watakaokwenda mbinguni🤣🤣🤣
Unajisikiaje CHAWA na malaya wa kisiasa. Kanisa katoliki lenye wasomi limesema imeisha hiyo. Kwanamna yoyote kanisa takatifu likisema limesema na Tanzania lazima ifuate .
 
Elimu ni kitu muhimu sana
Hakuna nchi ya kiarabu iliouza mtumwa sehemu yyt.
Km una ushahidi na hio kauli weka ushahidi hapa.
Monachorum picha kisha mnadai waarabu waliuza watumwa.
Leo kila nchi ya kizungu wana museums za watumwa.
Nenda kwa waarabu km utakuta chochote kinachohusiana na watumwa.

Wazungu wamewajaza takataka kichwa basi akili zenu mpk leo 2023 mnasema yale yake wanayosema wazungu.

Acheni chuki za dini.
Mtaathirika wenyewe
 
Hakuna taasisi inanufaika na uozo bandarini kuliko kanisa katoliki.

Ujio wa mwarabu ni mwiba mchungu kwao maana mianya ya kutumia kanisa kuingiza Mali binafsi inakwenda kuzibwa.

Kanisa haliwezi kuruhusu mwarabu aidhibit Bandari , hapo ingekuwa ni Italy basi neno lisingekuwepo.

Kuna Mambo mawili makubwa hapa

1. Udini
2.Ubinafsi
 
Unadhani kuna mtu ana wasujudu maaskofu kama nyie mnavyowasujudu hao viongozi wenu? Kwa taarifa yako sisi wengine tumebaki wakristo mapambo wala huko kanisani hatuendi, maana kanisa letu siku hizi ni pesa. Hao maaskofu tunajua wanajitambua. Maana kama ni elimu ya kweli wanayo, na hiyo ya dini yao wanayo. Inshort wana uelewa mpana. Lakini bila hata wao kusema, sisi tunaojitambua tunasema huo mkataba ni wa kitapeli fullstop.
 
ROMAN CATHOLIC hawana shughuli ndogo. Kwa kifupi tamko la TEC ndio kwanza linafungua upya mjadala wa mkataba wa bandari. Vyombo vingi vya habari tena vile vikubwa sana katika hali isiyo ya kawaida vilikuwa vimepiga kimya kabisa kuhusiana na mijadala mbali mbali JUU ya hili suala. Kwa kitendo cha TEC kutoa tamko basi sasa ndio kwanza kipenga kimepulizwa hasa ukizingatia kanisa katoliki linaendesha misa kila siku kila kona ya nchi hii na linamiliki TV, radio, magazeti n.k. kwa hiyo mjadala utahamia mpaka vijijini huko kwa kasi ya ajabu.

Ombi langu kwa chama na serikali kwa kuwa hili suala limetikisa sana misingi ya dini zetu na muungano wetu kwa kiasi cha kuvunja rekodi tangu kupata uhuru wetu basi wasiendelee kushupaza shingo badala yake itafutwe namna nzuri ya kulimaliza ili watanzania tuendelee kuishi kama ndugu. Hatujachelewa kama taifa tukiamua hata leo hii mjadala unafungwa kikubwa tu ni utashi tu wa viongozi wetu wa juu wa nchi.

Hakuna kinachoshindikana kuliokoa hili taifa kwani tunapoelekea sioni mwanga kabisa kwani hatujui dini nyingine kubwa nayo itakuja na tamko gani.

Mungu ibariki Tanzania; Mungu wabariki .viongozi wetu wapate busara kwenye suala la bandari.

Ni mtizamo tu.
 
Sasa unaona unavyo jichanganya.
Unadai wewe ni MKRISTO MAPAMBO. Na KANISANI HUENDI TENA MANAKE KANISA LENU LINATAKA HELA TU.(Hapendwi mtu wala kondoo).

Halafu hapo hapo unavailable maaskofu wana elimu ya kutosha ya dini yao.

Elimu ambayo imekusababisha wewe Tindo Kuacha kwenda kanisa kwa kuogopa kupigwa
Halafu hapo hapo unataka sisi watanzania tuwasikilize.
Sasa sijajua. Wewe hujui kuwa hujui au umekula ganja kabla ya kuingia humu JF.
Hapo itabidi unisaidie jibu.
 
Paroko wangu ameniambia nijiandae kuusoma kanisan jumapili..ndio itakuwa homilia ya kesho kutwa.....
 
swala sio kuwekeza bandarini bali hoja hapa ni kuenea kwa dini nyingine na dini hiyo itawale humu tanzania
 
Hawa watu wa mnyezi , ni wachache sana Nchi hii.

Tusiwaendekeze .
Sema mtiti wao wakiamua si wa kitoto. Wakiamua kujifunga mabomu na kujiripua ili waende kufaudu mabikra 72 wasiomaliza ubikra hakutakalika hapa. Itakuwa watu mkisikia Allahu Akbar mnaanguka chini!

Tuombe tusifike huko!
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Ungesoma kilichoandikwa kwenye tamko hilo na kukielewa, halafu ndipo ukatoa maoni yako ingekuwa vizuri sana.

Inaonyesha hapa wazi kuwa hukusoma kilichoandikwa, na wala hujibu kilichomo kwenye andiko, bali umeona uandike tu kwa msukumo wa kujua waliohusika na andko lililowasilishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…